Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Pole sana dada, naiona ndoa yako bado Ina nafasi ya kutengemaa, kumbuka anayeifanya ndoa idumu au ivunjike Ni mwanamke, usimuulize chochote kwa sasa juu ya nyumba wala mtoto wala mapenzi, kaa kimya mpikie chakula vizuri (cha mezani na kitandani) ale ashibe, na usimsaliti kamwe, nakuhakikishia ipo siku atakupigia magoti

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli ya iko siku atakupigia magoti ni siku gani hiyo kumbuka kuna presha kwa ajili ya mawazo hajui lini atafurahia ndoa yake tena.
 
Pole changamoto unazopitia na mm ndio nilipitia kila kitu niliamua kuacha kwa aliyekuwa mke wangu

Kila kitu ...mpk watoto ambao ni damu yangu niliamua tu kumuachia usiogope kuanza upya

Unaweza kuwa mwanzo mzuri kwako ..... Ukianza upya kuliko kuendelea na masimango

Kuna watu wanakubexa sasa maana hawajui ...machungu ya kuona deni kwenye salary slip ...wewe unahenya kukatwa kila mwezi

Kubali kuinuka jifute machozi ....na kuwa mwangalifu sana !! Imani yako usiiweke kwa wanadamu

Tenga muda xaidi kujisogeza mbele za Mungu wanadamu wanaweza kukubeza ila Mungu wa mbinguni hawezi kukubexa

sent from toyota Allex
Ushauri wako ni mzuri sana, ila hizo (x, badala ya s au z) zimepunguza uzito wa ushauri wako!
 
Hakuna kitu nachukia kama dharau kuna comment Masai dada ameandika mumewe ana mjibu "mimi sitaumia wewe ndio utaumia" hakika kuna watu mna uvumilivu wa chuma.
Mumewe ni mjeuri kwa asili, na nguvu ya hiyo kauli unatokea kwenye upendo wa dhati alionao mkewe kwake ila nakuhakikishia mkewe akimbadilikia hataamini na atashtuka kukiwa tayari kumekucha na jeuri zote hizo atakuwa mdogo km piriton.

Halafu hawajuagi kuwa ukiona wife anafatilia na kukulilia sana ujue anakupenda kwa dhati lakini ukiona wife ahangaiki na wewe ujue hapo pameshaanza kuchimbika

Waliambiwa watumie akili kuishi na sie lkn sijui akili wamepeleka wapi haya mafurushi!!

mwanamke mwenye jeraha la kihisia ni mbaya kuliko kiumbe chochote kile wasitufikishe huko,,( umeona kuna mahali anasema akilia mbele za Mungu, mumewe anapata maswahibu makubwa)
 
Aisee..Pole sana mtanzania mwenzangu.

Kabla ya ushauri ..acha nitoe povu kwanza maana nimejaribu kuwaweka wale wanangu wawil wa kike kwenye position yako ikitokea wameolewa, ahaah aisee, nikijua wanafanyiwa unyama huo aiseee ..acha nimeze maneno.

Ndoa,!!! Yan mtu ukajitoe thaman na kukubali kugeuza ur worthy and valuable life to a hell fire kisa ndoa sijui unampenda mtu na blah blah zingine.kisa ndoa. Come one hiyo sio sawa..

Ukamng'ang'anie mtu ambae hata hakupendii..Ww na watoto maana kakutamkia wazi seriously, na bado unapoteza muda wako hapo..No no no!!!!
Hayo sio mapenzi.
Afya yako ya akil na utulivu wa mind yako ni muhim sana sio kwako tu bal hata kwa malezi ya wanao..

Why risk dat much kwa jitu ambalo hata halikupendi aisee.eti "nyumba hii haiwahusu" seriously na umewekeza pesa yako hapo.
Acha wanawake watunyooshe kumbe sometimes tunawaonea isivyo stahil.

I can imagine, hiyo situation ndio ingekua inatokea kwenye ndoa yangu, wife asingekua hivyo ulivyo ww..Hata kidogo..i know her..hana upuuzi kwenye mambo ya kijinga hayo.Tungekua tushafika mbalii .

Anyway, nadhan ni moja ya hasara za kuolewa na wanaume waliowazid sanaa umri.Wanawa treat kama watoto wao wa kike wakiamua.Na nyie mnawaogopa kama baba zenu..
hayo ndio yangu ya moyoni.
Kwa ushauri ule wa kinafki nitakuja na ID nyingine.

SINGLE FATHER KAZUA BALAA..
Mkuu nina uwezo wa kupambana ila kuna mru alinishauri akasema ni vyema ujipange kivyako.hapo utatolewa roho
 
Mumewe ni mjeuri kwa asili, na nguvu ya hiyo kauli unatokea kwenye upendo wa dhati alionao mkewe kwake ila nakuhakikishia mkewe akimbadilikia hataamini na atashtuka kukiwa tayari kumekucha na jeuri zote hizo atakuwa mdogo km piriton

Halafu hawajuagi kuwa ukiona wife anafatilia na kukulilia sana ujue anakupenda kwa dhati lakini ukiona wife ahangaiki na wewe ujue hapo pameshaanza kuchimbika

Waliambiwa watumie akili kuishi na sie lkn sijui akili wamepeleka wapi haya mafurushi!!

mwanamke mwenye jeraha la kihisia ni mbaya kuliko kiumbe chochote kile wasitufikishe huko,,( umeona kuna mahali anasema akilia mbele za Mungu, mumewe anapata maswahibu makubwa)
Yaani hata mimi nasema niwe na ujasiri tu wa kuignore mambo yake ila nahisi ninampenda ndp maana nasumbuka
 
Yaani hata mimi nasema niwe na ujasiri tu wa kuignore mambo yake ila nahisi ninampenda ndp maana nasumbuka
Hiyo ndo pona yako kupuuza kusamehe na kuendelea na yako

Itakuepushia vidonda vya tumbo sukari presha nk

Itakupa amani wewe, mtoto na nyumba yako
 
Nenda insta kamfolow idd makengo utakutana na wenye shida kama yako na wengine zaidi yako hautabaki kama ulivyoenda utajifunza kitu, sijaolewa ila sikushauri uondoke mpuuze na kitanda wanacholala na mwanaye kitandike tena vizuri kama mnalala wote hichohicho weka mwambie mtoto alale katikati, kwa kuwa anahudumia familia hela yako sasa dunduliza ukipata anza kujenga taratibu usimbugudhi, hapo usiondoke labda aondoke yeye
Mi mwenzenu naonaga Idd Makengo zile storee anatunga[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Pole changamoto unazopitia na mm ndio nilipitia kila kitu niliamua kuacha kwa aliyekuwa mke wangu

Kila kitu ...mpk watoto ambao ni damu yangu niliamua tu kumuachia usiogope kuanza upya

Unaweza kuwa mwanzo mzuri kwako ..... Ukianza upya kuliko kuendelea na masimango

Kuna watu wanakubexa sasa maana hawajui ...machungu ya kuona deni kwenye salary slip ...wewe unahenya kukatwa kila mwezi

Kubali kuinuka jifute machozi ....na kuwa mwangalifu sana !! Imani yako usiiweke kwa wanadamu

Tenga muda xaidi kujisogeza mbele za Mungu wanadamu wanaweza kukubeza ila Mungu wa mbinguni hawezi kukubexa

sent from toyota Allex
Sikuwahi kuwaza kama mtu anaweza akafikia hatu ya kuacha kila kitu
 
Back
Top Bottom