Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Imenikuta wiki iliyoopita tu
 
Wakati tunasubiri kikao cha patrickk na mama mkwe tuendelee alipoishia

.......
Nilitoka kazini kama kawaida nikapitia kwenye ule mgahawa alikuwa akifanya kazi Rechal dadake G nikamkuta yule rafiki yake wa zamani,amependeza kwelikweli,nilivutiwa naye nikachukua namba,nikasepa zangu,
Nikiwa njiani G akanitumia meseji , "kaka tuonane kabla hujaonana na mama ,nakuja huko nyumbani " nikajibu "OK" nimefika home nikamkuta G ananisubiri huku amechangamka isivyo kawaida, nikamuHUG pale tuakingia ndani ,kama mjuavyo wapenzi wasomaji mapenzi yana nguvu tuliishia kulala ,nimekuja kushtuka mida ya saa 4 usiku,kucheck simu naona missed call kama 10 za mama mkwe........
Mara nikasikia sauti huko nje,kumbe mama mkwe alikuja na wale wazee waliopanga mahali ya rechal.......

Itaendelea saa 3:42 usiku
 
NGUMU KUMEZA 🌚
 
Pale unapojitahidi kupunguza arosto lakini inashindikana apa hatima yetu ipo kwa kaka patrickk labda leo atakuwa kazini ivyo tuwe na subla Ndugu zangu
 
Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…