Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

kabisa mkuu mm kuna mmoja japo nilikuwa nimepitapita kwingine ila it was the first real love, ana maisha yake na mm yangu ila kila tukipata muda wa kuongea huwa tunaulizana "hv kwa nn hatukuoanaga" juz kat uzalendo umemshinda kaniambia lazima atatafuta siku tukumbushie japo anampenda sana mumewe, ila kitu napenda anamjali na kumuheshimu sana mumewe, mwamba anang'aa tu, kuna siku nikamtani muache mumeo uje kwangu, akajbu natamani hvo ila nikimuacha huyu hatomaliza mwaka atakufa.
Mume wake hana undugu na Afande Nyundo?
 
Aisee kusema na ukweli hiyo familia kuanzia mama na watoto wake wote hawana maadili yaani hapo haiusiani na kwamba wao ni familia ya uswahilini… familia haina nidhamu hata kidogo

Hivi mama unawezaje kwenda kwa mkwe wako hovyohovyo hivyo… tena binti yako alishaachwa et unapeleka binti yako ambae ni mdogo kabisaa akashinde nyumbani kwa shemejii yake.. inahitaji akili finyu kabisaa mpk mtu afikie hatua hiyo

Hiyo familia haina adamu na 90% mama amechangia kuharibu mabinti zake.. mtoto kulikuwa kuna uwezekano wa Patric kumuona akiwa hukohuko kwa mama mkwe wake.. yaani binti mdogo sana huyo Grace anafanyiwa ukatili na shemejii mtu.. familia ya kishenzi sana hiyo[emoji41]
Nadhani hapa wakulaumiwa ni Patrick kuruhusu Bond ya yeye na mama mkwe

Naona huko nyuma kasema mma mkwe akageuka Kama mma yake mzazi, Huwa inatokea katika maisha unakutana namtu mna bond mwishowe hamuhisi kama nyie sio ndugu Tena, sehemu nyingi nimeona Patrick anamsifia mama mkwe wake kuwa ni mtu mzuri sana na huenda mama sio brave enough kuweza kuwatambua wanaume kuwa wanaweza Fanya lolote katika mazingira haya

Mazoea hutengeneza mapenzi na ndicho kilichotokea kwa Grace
 
Mimi baada ya kusubscribe huu uzi alafu nizime data kwa saa 3 alafu nirudi online 😁😁
 

Attachments

  • 20241230_175545.jpg
    20241230_175545.jpg
    23.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom