magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mume wake hana undugu na Afande Nyundo?kabisa mkuu mm kuna mmoja japo nilikuwa nimepitapita kwingine ila it was the first real love, ana maisha yake na mm yangu ila kila tukipata muda wa kuongea huwa tunaulizana "hv kwa nn hatukuoanaga" juz kat uzalendo umemshinda kaniambia lazima atatafuta siku tukumbushie japo anampenda sana mumewe, ila kitu napenda anamjali na kumuheshimu sana mumewe, mwamba anang'aa tu, kuna siku nikamtani muache mumeo uje kwangu, akajbu natamani hvo ila nikimuacha huyu hatomaliza mwaka atakufa.