Nimeshangaa hii ID mpya kumbe ni mdogo wangu!!!!Wifi kaka ulivyokuwa haupo alikucheat km Patrick kwa Marry πΉπΉπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Nadhani hapa wakulaumiwa ni Patrick kuruhusu Bond ya yeye na mama mkwe
Naona huko nyuma kasema mma mkwe akageuka Kama mma yake mzazi, Huwa inatokea katika maisha unakutana namtu mna bond mwishowe hamuhisi kama nyie sio ndugu Tena, sehemu nyingi nimeona Patrick anamsifia mama mkwe wake kuwa ni mtu mzuri sana na huenda mama sio brave enough kuweza kuwatambua wanaume kuwa wanaweza Fanya lolote katika mazingira haya
Mazoea hutengeneza mapenzi na ndicho kilichotokea kwa Grace
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anyway, naona wengi mnaomba namba na picha za Grace. Na mimi ambavyo sipendi competition, patrickk naomba namba za mama mkwe. Picha siyo muhimu sana, mama zetu wengi wanafanana.
Okay kaka... we are waiting for πΊπΊ zerominus10 Leo umelala wapiWakuu samahani leo nilikua safari, saa 9 na nusu ntaanza kuziweka ntajitahidi leo ziwe ndefu
Oh ni vyema kama umefika salama mkuuWakuu samahani leo nilikua safari, saa 3 na nusu ntaanza kuziweka ntajitahidi leo ziwe ndefu
Mida yetu hiii πWakuu samahani leo nilikua safari, saa 3 na nusu ntaanza kuziweka ntajitahidi leo ziwe ndefu
21:36Wakuu samahani leo nilikua safari, saa 3 na nusu ntaanza kuziweka ntajitahidi leo ziwe ndefu
Shemejiiiii mrudie mwanaβ¦.πSasa hapo cha ajabu nini??
Wewe na viporo wanakuita upashe, kuna mwenzio huku kashaniitia mpk ukoo wao wote na nimegoma.!
Kawajaza pesa wale maanko jau lakini wapi, kanisusia mpk ofisi tulioanzisha wote na kila kitu labda nitakubali lakini hamna kitu.!!
Na sitegemei kumrudia hata mbwa apige mswaki..!
Shemeji hebu Muoneee huruma Mtoto wa Mwanamke Mwenzio, Jamaa yetu anakumiss mno!!Sasa hapo cha ajabu nini??
Wewe na viporo wanakuita upashe, kuna mwenzio huku kashaniitia mpk ukoo wao wote na nimegoma.!
Kawajaza pesa wale maanko jau lakini wapi, kanisusia mpk ofisi tulioanzisha wote na kila kitu labda nitakubali lakini hamna kitu.!!
Na sitegemei kumrudia hata mbwa apige mswaki..!
Huwenda hata yeye hakujua kama itachukua muda. Ama baada ya kuona watu tunachanganyikiwa ikabidi aongeze maji kwenye chaiTuliochanganyikiwa tupo wengi Sana , π€£π€£π€£ Eti naandika Leo hii hii mpaka iiishe hata kama saa 7 usiku nimecheka Sana π€£
Tunachungulia kikao cha mama mkwe kianze bhana....Mida yetu hiii π