Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Nadhani hapa wakulaumiwa ni Patrick kuruhusu Bond ya yeye na mama mkwe

Naona huko nyuma kasema mma mkwe akageuka Kama mma yake mzazi, Huwa inatokea katika maisha unakutana namtu mna bond mwishowe hamuhisi kama nyie sio ndugu Tena, sehemu nyingi nimeona Patrick anamsifia mama mkwe wake kuwa ni mtu mzuri sana na huenda mama sio brave enough kuweza kuwatambua wanaume kuwa wanaweza Fanya lolote katika mazingira haya

Mazoea hutengeneza mapenzi na ndicho kilichotokea kwa Grace

Hawana adabu hiyo familia.. kitendo tu cha mama mkwe kumuuliza Patric anampango gani na binti yake na wakati hawafahamiani tayari kilishusha heshima yake..

Mama anatoka out na mkwe wake tena ambae walishaachana na binti yake.. mimi sikujua kama wamama wa kisukuma wanaweza kuwa na tabia hizo kuzoeana na mkwirima wako ni upuuzi
 
Sasa hapo cha ajabu nini??
Wewe na viporo wanakuita upashe, kuna mwenzio huku kashaniitia mpk ukoo wao wote na nimegoma.!

Kawajaza pesa wale maanko jau lakini wapi, kanisusia mpk ofisi tulioanzisha wote na kila kitu labda nitakubali lakini hamna kitu.!!
Na sitegemei kumrudia hata mbwa apige mswaki..!
Shemejiiiii mrudie mwana….πŸ˜‚
 
Sasa hapo cha ajabu nini??
Wewe na viporo wanakuita upashe, kuna mwenzio huku kashaniitia mpk ukoo wao wote na nimegoma.!

Kawajaza pesa wale maanko jau lakini wapi, kanisusia mpk ofisi tulioanzisha wote na kila kitu labda nitakubali lakini hamna kitu.!!
Na sitegemei kumrudia hata mbwa apige mswaki..!
Shemeji hebu Muoneee huruma Mtoto wa Mwanamke Mwenzio, Jamaa yetu anakumiss mno!!
 
Back
Top Bottom