hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaweza mambo gani?Wakina shemale hatuwezagi hayo mamboo
Tunduzuri kweli?Mnataka kutuvumbua sio
Huyo mama amna kitu kabisa ni takatakaNdio maana nasema familia ya hovyo hii… mama anaejielewa hawezi kuzoeana na mkwe wake nAmna hiyo.. hata wamama wa uswahilini wana adabu kwa wakwe zao japo wanajichetua ila huyo amezidi akili kisoda
Hahah mwamba inaonekana wewe elimu imepita kushoto. Sasa suala la muda ambalo dunia imejiwekea mfumo ili tuelewane kwa pamoja ni suala la kulalamika kweli? Umeiona tu hiyo 1:42 ila hiyo aliyoandika 23:10 umeielewa. Nyie ndo mnaanza kulalamika kwanini hatua 75 za miguu zinakuwaje ekari moja 😂😂😂Yaani saba isomeke moja kweli?
Alaumiwe yule aliyepotosha ulimwengu,maana hata hao wenye muda,mwanzoni saa 6 mchana ilikuwa inaandikwa 6 sio 12.
Hahah mwamba inaonekana wewe elimu imepita kushoto. Sasa suala la muda ambalo dunia imejiwekea mfumo ili tuelewane kwa pamoja ni suala la kulalamika kweli? Umeiona tu hiyo 1:42 ila hiyo aliyoandika 23:10 umeielewa. Nyie ndo mnaanza kulalamika kwanini hatua 75 za miguu zinakuwaje ekari moja
Eti kwa ujumla wao😅Naomba namba ya Mary kaka na yule mwarabu kwa ujumla wao
Naona mmeniamulia 😄😄
Leo kazi ninayo 😂😂Hivi unajua haka katoto kalivyo kazuri hata kwa ku-imagine tu Grace(G) alimaarufu Aaliyyah .
Patricck mwenyewe anawaza namna ya kujitoa lakini anaona ni pagumu mno😂😂
Huo ni uwongo mkuu, huwezi kututoa kwenye hili jambo 😂Leo kazi ninayo 😂😂
Mkuu ushawah ona pua yangu kma ndonga ya katapila uzuri noutoe wap
Huyu Patrick kimzaa mzaa hivi ata twambia sogelea telegram 😃🔥
Nyie endeleeni
mtag aje amaliziePatrick kapotelea wapi saiv humu tumebaki kupiga porojo tu
Labella mafieMalizia chai yako hatuwezi kuingia mwaka mpya na viporo 😹