Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Yaani saba isomeke moja kweli?
Alaumiwe yule aliyepotosha ulimwengu,maana hata hao wenye muda,mwanzoni saa 6 mchana ilikuwa inaandikwa 6 sio 12.
Hahah mwamba inaonekana wewe elimu imepita kushoto. Sasa suala la muda ambalo dunia imejiwekea mfumo ili tuelewane kwa pamoja ni suala la kulalamika kweli? Umeiona tu hiyo 1:42 ila hiyo aliyoandika 23:10 umeielewa. Nyie ndo mnaanza kulalamika kwanini hatua 75 za miguu zinakuwaje ekari moja 😂😂😂
 
Hahah mwamba inaonekana wewe elimu imepita kushoto. Sasa suala la muda ambalo dunia imejiwekea mfumo ili tuelewane kwa pamoja ni suala la kulalamika kweli? Umeiona tu hiyo 1:42 ila hiyo aliyoandika 23:10 umeielewa. Nyie ndo mnaanza kulalamika kwanini hatua 75 za miguu zinakuwaje ekari moja
 
Huyu Patrick kimzaa mzaa hivi ata twambia sogelea telegram 😃🔥
Nyie endeleeni kumu endekeza
20241209_103818.jpg
 
Back
Top Bottom