Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Yaani saba isomeke moja kweli?
Alaumiwe yule aliyepotosha ulimwengu,maana hata hao wenye muda,mwanzoni saa 6 mchana ilikuwa inaandikwa 6 sio 12.
Hahah mwamba inaonekana wewe elimu imepita kushoto. Sasa suala la muda ambalo dunia imejiwekea mfumo ili tuelewane kwa pamoja ni suala la kulalamika kweli? Umeiona tu hiyo 1:42 ila hiyo aliyoandika 23:10 umeielewa. Nyie ndo mnaanza kulalamika kwanini hatua 75 za miguu zinakuwaje ekari moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…