Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Sema nini binadamu tupo tofauti sana, mimi hata kama ni ndugu wa damu akinipeleka selo na undugu unakufa.

Unajua kabisa mwanamke ni dege lisilolika unarudi tena pale pale, aisee!!! Hivi mkuu ulishajaribu kupima? Mana huko Geita Gold sio poa.
 
Mimi huwa nawashagaa sana wasomi, au kuna siri gani kwenye pombe na madawa yakulevya haya. Unakuta msomi mzuri tu lakini pombe singira na makolokocho kibao anatumia

Mimi ambaye nilishia darasa la 7 tulifudishwa hivyo vitu ni hatari kwa afya zatu za akili na mwili,.

Hadi leo naviogopa kama mamamkwe wa patrickk.

Nyie wasomi hebu nifungueni hii code au uko mbele huwa munafundishwa siri yakutumia pombe.
 
Wasomi wengi ni wapweke
 
Mkuu jumapili nenda kanisani kapunguze dhambi halafu punguza bia
Mungu anajaribu kukupunguzia matatizo lakini bado unayafuata kwa speed.
Recho sio mtu mzuri kwako
Mara nyingi shetan anapambana sana na watu wenye vision na nyota Kali hiyo story yako ni maisha halisi ya mdogo wangu
Sijui anamatatitizo gani yaani analiona shino halafu anajiingiza Kuna wakati kutoa hela hakumalizi matatizo zaidi inahitajika busara za baba wadogo, kaba haya maswala yanaenfelea bado hujaseto imalizie haraka ili tukushauri kama nimatukio ya kitambo basi endelea kutupa burudani.

Lakini pia kuokotaokota wanawake sio kuzuri wengine wanaroga balaa Mimi ninawasiwasi na yule aliyekuaribia kwa Mary yule so mpemba sijui? Nahisi alikuroga maana ulimuumiza sana.
Hii ni simulizi boss ilishapita mpaka kuona mtu anasimulia ni zilipendwa mara nyingi
 
Back
Top Bottom