Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
S4 epi 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mlikuwa fungate na husemi 🤣🤣Mbna mmeedit comment yangu
Mmeedit nilichoandika😄Kumbe mlikuwa fungate na husemi 🤣🤣
jamaa mchonganishi, sema nini hata kama ulikuwa wapi, we njoo tu me nakupokea na kukuogesha kabisa 😂😂Mmeedit nilichoandika😄
Wee thubutu hapo lazima vibao vitembeejamaa mchonganishi, sema nini hata kama ulikuwa wapi, we njoo tu me nakupokea na kukuogesha kabisa 😂😂
Nishakwambia achana na maisha ya ugomvi huko, njoo ubembelezwe tuu, umekosa au umekosewa zote unaombwa msamaha wewe 😊Wee thubutu hapo lazima vibao vitembee
Jinsi nilivyowala dada na mdogoKWA KWELI HII STORI YA PATRICK INAHITAJI KICHWA KINGINE CHA HABARI (ANOTHER HEADING).
Watu mna uchokozi sanaLeo weekend malizia kabisa, au upo bize na tambuu?
Wasomi wengi ni wapwekeMimi huwa nawashagaa sana wasomi, au kuna siri gani kwenye pombe na madawa yakulevya haya. Unakuta msomi mzuri tu lakini pombe singira na makolokocho kibao anatumia
Mimi ambaye nilishia darasa la 7 tulifudishwa hivyo vitu ni hatari kwa afya zatu za akili na mwili,.
Hadi leo naviogopa kama mamamkwe wa patrickk.
Nyie wasomi hebu nifungueni hii code au uko mbele huwa munafundishwa siri yakutumia pombe.
Hii ni simulizi boss ilishapita mpaka kuona mtu anasimulia ni zilipendwa mara nyingiMkuu jumapili nenda kanisani kapunguze dhambi halafu punguza bia
Mungu anajaribu kukupunguzia matatizo lakini bado unayafuata kwa speed.
Recho sio mtu mzuri kwako
Mara nyingi shetan anapambana sana na watu wenye vision na nyota Kali hiyo story yako ni maisha halisi ya mdogo wangu
Sijui anamatatitizo gani yaani analiona shino halafu anajiingiza Kuna wakati kutoa hela hakumalizi matatizo zaidi inahitajika busara za baba wadogo, kaba haya maswala yanaenfelea bado hujaseto imalizie haraka ili tukushauri kama nimatukio ya kitambo basi endelea kutupa burudani.
Lakini pia kuokotaokota wanawake sio kuzuri wengine wanaroga balaa Mimi ninawasiwasi na yule aliyekuaribia kwa Mary yule so mpemba sijui? Nahisi alikuroga maana ulimuumiza sana.