Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

Epi 3

Basi bana nikakaribishwa hivo hivo kiunafki, maana najua sikubaliki hata kidogo, ilikua siku ngumu Sana kwangu maana hata nilikua sielewi nafanya nini pale.... Anyway tumekaa pale lunch walipika nyumbani, tumekula utambulisho wa juu juu hivo hivo tu, basi story mbili tatu ila mi Yale mazingira ya home nikawa tu sio amani Wala nini, nikamtext Samira maana tulikua wote sebleni namuambia acha niwatoe twende mahali tumekaa Sana home, akanijibu subiri ntakuambia.... Tumekaa pale kidogo wakaitana ndani baadae Samira anatoka ananiuliza tunaenda wapi...? Hapo akili haijakaa sawa namuambia tutoke tu tutajua..... Akaniambia sawa..... Sasa Ile kua na wanawake wawili na mmoja najua kabisa hakubali uwepo wangu ikabidi nifanye maarifa, Kuna jamaa yangu kitambo alikua anafanya kazi symbions pale kabla ya kampuni kuhamia mtwara nikamcheki maana alikua ameniambia yupo mjini..... Baada ya kuongea nae tukapanga kukutana kiwanja akemi, nikaona afadhali hata nimepata wingman, wakatoka safari Moja Kwa Moja mpaka akemi, kufika pale tunakuta pote mpaka reserved hatukupata nafasi(aisee watu wa dar mna pesa)...... Jadiliana pale kidogo tukajivuta mpaka white sands ...

Jamaa yangu huyu nae ni mtu wa mitungi, Kwa Io kufika kule hakuna Cha kuremba wala nini, kumbuka Hawa mabinti wote hawanywi pombe ila sawa tu Kila mtu na starehe yake, dada mtu Kuna jicho alikua ananikata pale naona kabisa hapo na pombe hizi ndo nazidi kujishushia credit, ila potelea pote

Tumekaa pale dada mtu ananiambia shem naona mgeni kaja Wala hatujatambulishana, Sasa hapo naona mizinguo tu maana huyu jamaa yangu anajua fika kama Nina familia na nini, nawaza utambulisho wa nini Tena hapa kama si kuchorana tu.... Basi hivo hivo ikabidi nimtambulishe kwanza jamaa kwao, baadae namwambia jamaa huyu Samira shemeji Yako.... Na huyu hapa dada yake..... It was weird ila ndo hivo ningesemaje Sasa....

Siku inazidi kusogea tunapiga story tu pale, badae jamaa yangu ni kama walikua bize kuongea na Samira, dada mtu nae kama ndo akapata upenyo Sasa kuongea na mimi.... Hayakua maongezi hata kivile ni kama nilikua chumba Cha mahojiano tu, dada mtu nae ni full kiingereza ila hapa ntaeleza Kwa kiswahili tusichanganye mambo Sana, tumeongea kidogo baadae ni kama akawa serious ananiuliza hivi wewe na mwenzako(Samira Sasa) mnajua kweli mnachokifanya??? ... Sio kwamba nilikua simuelewi ila naona tu swali limekua gumu ikabidi nimuulize kwanini umeniuliza hivo mbona sijakuelewa

Ni kama alivuta pumzi kidogo, badae ndo ananiambia yaani nyinyi naona mlinogewa na ile puppy love(mapenzi ya utoto) kipindi kile mnaona mpo sawa ila mnachofanya hakileti maana yoyote Kwa Sasa, ndo ananiambia wewe sa ivi una maisha mengine tofauti kabisa hata mkisema mfanyaje huko mbele kutakua na complications nyingi Sana unless mnafanya for fun tu hampo serious mkiniambia hivo at least ntawaelewa..... Samira nae ni kama alisoma upepo akawa ananiangalia kiwizi wizi nahisi alijua hapo nshabananishwa.....

Kwa kweli Yale maneno ya dada yake nilikua namuelewa Sana, maana hata kwangu mimi hii kitu ilikua hai make sense kivile, maana najua kabisa siwezi wekeza mda mwingi kwenye hili penzi nikaacha familia, mtu pekee Kwa kipindi icho ambae alikua anaona ni sawa labda ni Samira tu maana hata mimi nilikua kama sielewi.....

Nikajiuma uma tu pale nimwambia hata kwangu hii situation ni ngumu Sana, sema we tupe muda ntakaa na Samira tutaona tunafanyaje.... Akawa anacheka tu ananiambia fanyeni mambo Kwa kuangalia reality maana mimi sioni mwisho mzuri kwenye hili swala lenu.... Basi tukaongea tu pale at least nikamuona dada mtu ni muungwana maana ameniambia concerns zake mwenyewe live kabisa sio tu aishie kunisema pembeni, vibe likaendelea mpaka usiku kidogo badae tukatoka hapo tukafika mahali tukaagana wao wakarudi home sisi mapopo Sasa tukautafuta mji

Jamaa yangu ndo nikawa namuelezea situation yeye hata hawazi ananiambia Mzee mtu mzuri kama huyu presha za nini we mfanye mchepuko tu kula maisha jamaa unawaza nini, ndo nikawa namuambia hii situation ni ngumu Kwa huko mbele, hakuna mwanamke ataendelea kukubali tu kua second option, afu Sasa huyu Samira kiuchumi kajitosheleza at least ingekua labda mimi ndo namuwezesha angeweza vumilia, Sasa huyu sio kwamba anataka pesa kwangu, unadhani atakubali kua mchepuko mpaka lini, lazima tu litakuja balaa huko mbele, jamaa nikamueleza mambo mengi Sana, nikawa namuambia huko mbele naona balaa tu alafu mi nshapitia mambo mengi Heka Heka tena za ugomvi wa familia sitaki kuzipitia.....

Jamaa nae ananipa kichwa tu ananishauri niendelee kula Raha na Samira, si unajua sisi wanaume tulivyo tena, hapo na mimi black and white zinapanda kichwani namwaza G wangu alivyo mpole naona hata akija kujua huyu nammudu tu Wala hawezi nisumbua, ila Bado kuna akili inakataa nawaza watu hua hawatabiriki, naweza anzisha maisha mengine ya kuanza kukaa na mtu ambae Hana amani kabisa, nawaza ingekua mimi ndo nimejua kanifanyia ivo..... Naona sio sawa kabisa.... Akili zinagongana tu pale sisi Sasa tupo viwanja na jamaa story nyingi maana hatujaonana muda....

Sijakaa sawa Simu ya Samira hii, nakata namtumia sms nipo kwenye kelele namjulia Hali kama wamefika salama, kimbembe kinaanza Sasa, ananiambia naomba upokee Simu Kwa vyovyote vile, inabidi niende mpaka parking napokea anaanza kulalamika mnafanya nini huko kwanini msiende kulala, namuelezea tuna catch up tu na mshkaji Wala sitachelewa.... Mtu haelewi.... Tumezozana pale kiasi baadae nikarudi ndani.... Sms kama zote.... Nae namuona ni mtu kama anapenda kumcontrol mtu au ana wivu Sana, another red flag!!! Naanza kuwaza mbona mapema hivi Sasa huko mbele tutawezana kweli??? Anyway tumekaa pale mpaka late usiku jamaa akinirudisha nilipofikia ye akaondoka

Nafika Sasa,nampigia Samira nimefika ananiambia acha nikupigie, mara naona video call Whatsapp napokea, tumeongea mara ananiuliza upo na nani? Nabaki nashangaa tu... Namuuliza Nipo na nani kivipi Sasa si nimekuambia nimerudi kulala, eehh sijakaa sawa mara naanza kuambiwa hebu zungusha camera basi basi chumbani nihakikishe

Aisee hivi vitu nilikua naviskia tu Kwa watu sikuwahi kuwaza ipo siku eti na mimi ntaambiwa huu ujinga, ikabidi niwe mkali kidogo nikamuambia

"Na we punguza basi utoto mi nimechoka napumzika"

Nikakata Simu, zikawa zinaingia video calls nikawa nazikata, mara Simu za kawaida nikaacha kupokea, sms nazo Sasa hizo mi hapo nipo hoi badae nikapitiwa, asubuhi Sana mara mlango unagongwa, Sasa nikawa nawaza ni nani huyo asubuhi Sana.... Nakosa jibu maana hata ningewaza mambo ya malipo kampuni ndo ilikua inalipa.... Nikabaki sielewi nikajivuta kwenda kufungua, nakutana na Samira bila salamu huyo kashaingia ndani.... Nikafunga mlango namkuta anacheka tu ananiambia

"Una bahati nikajua ntakukuta na mtu"

Dah nikashangaa nikamuuliza "are you serious?"

Akaanza kucheka pale ananiambia "kaka nisingekua serious ningekuja asubuhi yote hii"

Nikamwambia "unacheka ila it's not funny"....

Hapo usingizi umekata nikaenda kuoga, narudi namuambia aisee we need to talk

Nikaanza kumuelezea pale kuhusu maongezi yangu na dada yake Jana, nikawa namuambia nishakua na ndoa and I can't change that, Sasa kama nawewe una wivu hivo mbona huko mbele itakua balaa.... Na mimi sitaki drama za maisha tena kama tunaona hatuwezi Bora tuache mapema tu maana Kwa mwendo huu maisha yatakua magumu

Basi nikaombwa Msamaha pale.... Nikawa namuelewesha situation yetu imekua ngumu kama tukiamua hivi awe na mipaka na yeye anasema tu kaelewa.....

Basi tukashinda wote hio siku mpaka kesho Kila mtu akaenda kupambana na ujenzi wa taifa

Fast forward.....

Nikawa nimebaki na mda mchache dar, ila aisee ni one of my best moments, huyu kama wa kimanga kama kupenda aisee anajua kupenda, nikarudishwa kwenye mapenzi flani ambayo akili ni kama inakua haifanyi kazi vizuri kabisa.... Sijui hata nieleze vipi

Tukapanga mipango mingi Sana ya kimaisha aisee Kila kitu naona sawa kabisa, kwenye mipango yote Wala hakuwahi kuniambia nimpe chochote, naona kabisa it's not about money ni mapenzi tu... Tumekaa kwenye penzi Kuna muda ni Kila siku tupo wote Kila jioni atakuja hotelini weekends zote tupo kwake, mambo ya mke na familia yangu anakua muelewa kweli nikiongea nae hata saa ngapi huwezi kukuta amechukia, kijana nikazama tena kwenye penzi la huyu mtoto...

Muda wangu dar ukaisha tukasafiri kwenda training... Nafika huko penzi moto moto nikawa kama Sina hata usingizi, ntarudi zangu hoteli utapigiwa video calls tutaongea mpaka hata asubuhi.... Karibia Kila siku

Hata wiki haijakata nipo huko siku from nowhere tu kantumia text Kuna kitu serious Sana nataka kukuambia Patrick, nikawa nawaza mimba nini maana kijana nilivyokua dar nimepambania kombe kweli...... Namuuliza nini aisee nakutana na kitu kizito, sms ndefu kweli ananiambia hatuwezi kua wote tena, amewaza anaona nampotezea muda tena, nshakua na familia na nini yeye sio homewrecker hataki kuharibu mji wa mtu na mambo mengine kibao, analalamika kama kweli ningekua nampenda nimgemtafuta kabla sijaaamua kuanzisha familia, na mambo mengi Sana tena aliniambia....

Kwanza sikupanick Sana nikajua ni emotional stress tu kapata atakaa Sasa, mara mtu aka ni ghost..... Nampigia Simu hatopokea, ntatuma sms atasoma zote Wala hajibu, imekaa kama siku mbili ivo ivo nashindwa hata kuelewa Kuna siku nikapiga na namba mpya akapokea tukaongea kama dakika mbili tu hivi akaniambia ntakutafuta badae nafanya mahesabu

Badae namcheki ananipotezea tu, huko training Sasa na mimi najiona sipo sawa na under perform tu mpaka kuna siku jamaa yangu niliyetoka nae huko ananiambia mbona kama haupo sawa, namwambia nipo sawa labda uchovu tu tumefululiza Sana kufanya kazi, huko nilipo masaa nayo sio rafiki na nyumbani huko unakuta ila nimemaliza kazi zangu Ukisema umtafute mtu huko ishakua usiku mnene na nini, kama utani ndo mambo yakawa hivo, mpaka siku nikasema fu*ck it kwani nachohangaika ni kipi, nikawa na mimi nimempotezea, ila Sasa ntatoka training yaani kufika inaingia Whatsapp utakutana na sms kibao, utatafuta ya Samira unakuta hamna roho inauma basi tu, mapenzi kuna muda ni upuuzi Sana , hapo utakuta mtu kaweka status kapost biashara zake na nini, itapita siku 4 hivi utapiga Simu mtu hapokei.....

Akili hapo inaona ni sawa tu ila Sasa moyo nao sijui una kiherehere gani aisee, nilipata muda mbaya Sana huko, ila nikawa nawaza acha nitulie tu nikifika dar ntamfata nijue imekuaje tena ..... Tukamaliza training tulikaa wiki 3 tu badala ya nne tukarudi, ile nafika dar tu kesho yake bila hata kuwaza Sana nikaanza tu kama kubahatisha nimepita kwenye biashara zake hayupo nikawaza ngoja niende home kwake hapo sielewi hata nawaza nini ila naona Bora nimuone nipate closure tu kabla sijaondoka maana nikiondoka ivi ivi ntabaki na mawazo

Aisee Ile nimefika huko, nilijuta Sana hata kwenda Ile siku huko ndo nikakutana na majanga kamili Sasa.... Nikabaki nawaza Bora hata ningeenda zangu mwanza.....

Ngoja Nije nimalizie maana tukio lenyewe limetokea just some weeks back nakumbuka kama Jana vile
 
Malizia mwendelezo shekhe pk
 
Back
Top Bottom