Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

Kwa research za hivi karibu miaka ya karibuni nilisikia kuwa moyo una akili yake.

Yani walivyo Fanya operation ya kubadilisha moyo wa mtu yule aliye wekewa moyo mpya akawa na tabia mpya kama unywaji wa beer. Na hapo mwanzo hakuw nazo.

Sina uhakika ila moyo unatuendesha sana.
 
Back
Top Bottom