Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

vipi anae subiriwa akipata ajari akakimbizwa hospital????
Me binafsi sipendi mambo ya kutembelea watu.vinginevo ntakua na akiba yangu,mkizingua nakula mgahawani
Hio ndo best option tu iliyopo
 
Dawa ni kuingia gengeni,gonga plate Moja rudii,Omba kulala,wakikuamsha unawambia hujisikii kulaa au unawajibu hulagi masaa yakiwa yameenda[emoji1787].
Ahahaa hapo utakuwa umekomoaa sana eti Siri masaa yakiwa yameenda[emoji28][emoji28]
 
Hahahaha.... Utamaduni wa uvumilivu.Kwamba ukivumilia mpaka mwisho ndo utakula,Ukishindwa kalale lakini hautaamshwa chakula kikipakuliwa[emoji1787][emoji28] .Wao wanasema hiyo ni kutokana na uhaba wa chakula ukilinganisha na idadi ya watu waliopo,
Asiyekuwepo awekewe pemben waliyopo wafurahie msosi
 
Kijana jitahidi tafuta uhuru wa kiuchumi/ economic freedom.
Unatakiwa inaenda kwa mtu ukiwa umeshiba au ukikalishwa njaa wahi mgahawani/restaurant au dukani kwa mangi, pata chochote
Point, ukifika usionekane njaaa njaaa ikibidi unawaletea na cereals juice mbili tatu kuonesha uko fiti
 
Hivi kuna watu chakula kwao bado ni Big asset hadi karne hii ya 21?
 
Mapaja ya kuku,kidari na firigisi ni vya baba.Watu wengine wamepevuka katika uchoyo,uroho na ulafi.Libaba zima tangu limezaliwa limekula vingapi vinono hadi lililie finyango za nyama na kupata upendeleo kama mgonjwa?😝😝😝😝😝
 

Yan tena baba na mama wanatakiwa wale miguu vipapatio wawape watoto nafasi waenjoy wao walishakulaga sana waache ulafi waiiii
 
Yan tena baba na mama wanatakiwa wale miguu vipapatio wawape watoto nafasi waenjoy wao walishakulaga sana waache ulafi waiiii
[emoji28][emoji28][emoji28]sio kwa jamii zetu
 
Yan tena baba na mama wanatakiwa wale miguu vipapatio wawape watoto nafasi waenjoy wao walishakulaga sana waache ulafi waiiii
MENU YA MIMI BABA KWA SIKU.
Asubuhi-Chai ya rangi kwa matembele.
Mchana-Kachumbali na viazi vitamu vya kuchemshwa.
Jioni-napunga upepo huku nakula mbuguswa au makewe.
Usiku-Unapita hola au uji wa mihogo kwa bagia mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…