Inategemea wewe ni jinsia gani?Mimi ni mwanaume hivyo siwezi kwenda nyumba ya mtu kama Baba mwenye nyumba hayupo.Unaposema mwenye nyumba unamaanisha Nan, baba au mama, vp kama mama yupo ila baba hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea wewe ni jinsia gani?Mimi ni mwanaume hivyo siwezi kwenda nyumba ya mtu kama Baba mwenye nyumba hayupo.Unaposema mwenye nyumba unamaanisha Nan, baba au mama, vp kama mama yupo ila baba hayupo
Kwa nini usitoke nje ukanunua chakula ukala mpaka upange kumchamba. Fuata utaratibu kijana utafukuzwa urudi katavi oohoooIla yote hiyo ni roho mbaya na roho ya kimasikini sana halaf unakuta watu wa dizain hiyo huwaga ni wachoyo na viroho mbaya sasa kwann kama haupo usitengewe cha kwako unataka kushindisha watu na njaa eti wakusubir wewe...hiyo ni roho mbaya ya kuhusudu chakula waiiii...ningempata huyo ndugu wa hvo angejuta kwa namna ningemlipua kwa kichambo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini usitoke nje ukanunua chakula ukala mpaka upange kumchamba. Fuata utaratibu kijana utafukuzwa urudi katavi oohooo
Mkuu hapa sio suala la Hela, suala ni kwann ufanye hii tabia ?? Unaweza kuwa unahela na ukafanyiwa hivyoooUkiona hivyo ujue huna hela.
Okay sawa mkuu, kwahiyo hata kwenda kumsalimia ndugu Yako Hadi awepo baba mwenye nyumba, vp kama ukaenda kwa aunty yako ,mdogo wake na baba yako???Inategemea wewe ni jinsia gani?Mimi ni mwanaume hivyo siwezi kwenda nyumba ya mtu kama Baba mwenye nyumba hayupo.
Kwenda kusalimia familia yako kuna utaratibu tofauti kwani upo nyumbani nje ya nyumbani.Kwenda kwenye ugeni wa watu baki nako kuna taratibu zakeOkay sawa mkuu, kwahiyo hata kwenda kumsalimia ndugu Yako Hadi awepo baba mwenye nyumba, vp kama ukaenda kwa aunty yako ,mdogo wake na baba yako???
Kwa nini usitoke nje ukanunua chakula ukala mpaka upange kumchamba. Fuata utaratibu kijana utafukuzwa urudi katavi oohooo
Asilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.
hata kipindi nipo home ulikuwa hauwezi kula kabla ya baba hajarudi.labda ukadokoe jikoni kwenye sufuria lakini chakula kikishatengwa mezani haugusi
Mkuu hapa sio suala la Hela, suala ni kwann ufanye hii tabia ?? Unaweza kuwa unahela na ukafanyiwa hivyooo
Nisaidie kumjibu na huyu TuiHahahaha wale wale wa kuhusudu chakula polee sana mkuu kwanza chakula ni kitu cha kawaida kuliko kawaida yenyewe sema ushamba ulafi kiroho papo ndo kinawatesa mnaabudu vyakula poleni sana
Ndio Tatizo la watu mliopanda magari ya njano mnajikutaga ustaarabu mwiliingiiKwenda kusalimia familia yako kuna utaratibu tofauti kwani upo nyumbani nje ya nyumbani.Kwenda kwenye ugeni wa watu baki nako kuna taratibu zake
[emoji28][emoji28]Duuh labda kwenu mkuu na ni wachache mnaofanya hivyo, binafsi sijawahi kukutana na hiyo situation.
Kitu kikubwa ambacho huwa napata tabu ni muda wa kula, nishazoea Breakfast saa 3 Lunch isizidi saa nane na dinner saa mbili usiku....Shida inakuja unaenda sehemu Breakfast saa 5 lunch saa 9 na dinner saa 4 huwa naishia kufunga tu
Sawaa mkuuu,kwamba nikiwa na Hela sikalishwi kusubiri mtu??Hebu kuwa na pesa ndefu halafu wajue, ujaribu kwenda tena uje utupe mrejesho
Nisaidie kumjibu na huyu Tui
Mbona mimi silalamikii chakula.Nasema msiwe mnaenda kwa watu bila taarifa.Wenye nyumba wakiwa hawapo kwao mnafuata nini?Hahahahaha msamehe bure mkuu anaonesha wazi anavyohusudu chakula sio kosa lake hakuzoeshwa kuwa chakula ni kitu cha kawaida mno
Tumuache kweliHahahahaha msamehe bure mkuu anaonesha wazi anavyohusudu chakula sio kosa lake hakuzoeshwa kuwa chakula ni kitu cha kawaida mno
Mzee wetu alikuwa hivyo hvyo yaani mambo ya kula hayamchukulii mdaIla ukiwa na makazi na kama wewe ndo mwenye nyumba naamaanisha ndo baba au mama unatakiwa uwe strait kwa kuweka uwazi na uhuru kwa waliopo na hata wageni kwamba jaman chakula kikiwepo kuleni habar za kusubir sijui nani aje ndo kiliwe sio mpango na hata mgeni akija kama chakula kipo apewe na kama kakuta kilishaisha basi apewe chochote kilichopo hata chai huo ndo uungwana sio kuleta masharti kama ya waganga sio mpango na ukifanya hvo jua kwamba hata watoto unaowalea watachukua hiyo na wakiwa na kwao watafanya hvo hvo...ila sasa kuna watu maisha yao ni chakula yan wanaabudu chakula hadi huruma ndio utawakuta na masharti ya kijingajinga kama hayo
Mbona mimi silalamikii chakula.Nasema msiwe mnaenda kwa watu bila taarifa.Wenye nyumba wakiwa hawapo kwao mnafuata nini?
Ndio maana mnashindishwa na njaa.