Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

Niliwahi okota kademu fulani maeneo ya Nyerere square,kalionekana kama kakienyeji hivi tukasemezana fresh tukauma boda hao Hadi makole(lodge). Kufika pale anataka chake kwanza nikamwambia kwani huniamini akasema nataka uhakika wa changu Kwanza.
Kwa hasira za kimasai na kiburi Cha kihehe nikamwambia chukua nusu ya Hela tuliyokubaliana halafu sepa alivyoondoka nikajikuta najuta.
Hasira hasara.😂😂😂😂
 
Ahahah ulijua unamkomesha kumbe umejikomesha ahah
 
Mwendo wa ngiri mkia juu
Nakusanua hii wengi hawaijui ila ngoja niwasanue

Wanawake wengi hawapendi kwenda kupigiwa mikia ya tai kwenye room zao sio wote ila wapo baadhi hua wanatoa lock unakaribishwa room ukipige mashine, nakusanua ukifika room ya Mwanamke anaeishi kighetto ghetto alone alone japo kua ni very risk sana ila wazee wa kujilipua hua wanaibuka ni marufuku kutia mdomoni sampuli hizi hata akiwa ameiweka kwenye friji au vitenga vya jikoni usiile hata kuiosha ukikuta hizi sampuli hata km akikumenyea usile karoti, tango, hoho, bilinganyi, papai bila kuisahau Ndizi mbivu kataa mara moja kula hivyo ni vitendea kazi vyake kwa shughuli maalumu labda ukanunue vingine sio hivyo ulivyovikuta
 
Daah! Umenikumbusha kitambo sana , Kipindi damu inakwenda kasi "23" nlishawahi kuchukua demu, Nkaingia nae guest halafu mfukoni nikawa na Elf10 iliyotengana vipande viwili...😆😆

Hilo soo lake nilipopata upenyo tu, Nilipepea kama kipepe 💨🏃🏿‍➡️
Ahahha ungedharilika kijana
 
Nakusanua hii wengi hawaijui ila ngoja niwasanue

Wanawake wengi hawapendi kwenda kupigiwa mikia ya tai kwenye room zao sio wote ila wapo baadhi hua wanatoa lock unakaribishwa room ukipige mashine, nakusanua ukifika room ya Mwanamke anaeishi kighetto ghetto alone alone japo kua ni very risk sana ila wazee wa kujilipua hua wanaibuka ni marufuku kutia mdomoni sampuli hizi hata akiwa ameiweka kwenye friji au vitenga vya jikoni usiile hata kuiosha ukikuta hizi sampuli hata km akikumenyea usile karoti, tango, hoho, bilinganyi, papai kataa mara moja kula hivyo ni vitendea kazi vyake kwa shughuli maalumu labda ukanunue vingine sio hivyo ulivyovikuta
Wanatia dawa
 
Back
Top Bottom