Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

Michepuko kwa kuroga tu [emoji119][emoji119][emoji119]
Waache waiendekeze

Watakula sana takataka hadi nyama zilizovundikwa sehemu za siri

Watachomewa chumvi na kufunikwa kwa nyungo mpaka wachanganyikiwe

Si hawaridhiki na wake zao!!!!
 
Waache waiendekeze

Watakula sana takataka hadi nyama zilizovundikwa sehemu za siri

Watachomewa chumvi na kufunikwa kwa nyungo mpaka wachanganyikiwe

Si hawaridhiki na wake zao!!!!
Wanaume wanarogwa kwakweli, ni wa kuonea huruma tu
 
Inatehemea unakula ya nani, ukiendekeza hizi za mtaani kwa mtogole na buza utakishwa hadi mkojo
Wala hata sio hao tu....
Mi kuna best angu alikua akinisimulia daaah nabaki kucheka tu wala sio wa mitaa hiyo ni mdada wa maana mwenye biashara zake anamwendea kwa mtaalamu mme wa mtu yani akikohoa mwanaume kafika akiomba hela hakuna cha kusubiri hahahha
 
Limbwata linakuhusu
 
Inatehemea unakula ya nani, ukiendekeza hizi za mtaani kwa mtogole na buza utakishwa hadi mkojo
Michepuko wengi hutumia ndumba ili aliyenaye ampandishe daraja.......hasa ukute wale umri umeenda, single maza,
 
Nakuhakikishia ushalogwa ww yani mbususu hujapewa unataka umpe milioni mbili usawa huu embu acha huo ujinga haraka mle kimasihara
 
Fact kabisa
 
We nae umezubaa sana unalipiaje kodi Mwanamke ambaye hujamuonja. Yani huyo Muite mwambie aje achukue kodi piga mashine kwanza ndio utoe pesa ya kodi. Je ukikuta mashine mbovu alafu ushalipa 2 Ml?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…