Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Michepuko kwa kuroga tu 🙌🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache waiendekezeMichepuko kwa kuroga tu [emoji119][emoji119][emoji119]
Wanaume wanarogwa kwakweli, ni wa kuonea huruma tuWaache waiendekeze
Watakula sana takataka hadi nyama zilizovundikwa sehemu za siri
Watachomewa chumvi na kufunikwa kwa nyungo mpaka wachanganyikiwe
Si hawaridhiki na wake zao!!!!
Inatehemea unakula ya nani, ukiendekeza hizi za mtaani kwa mtogole na buza utakishwa hadi mkojoWanaume wanarogwa kwakweli, ni wa kuonea huruma tu
Wala hata sio hao tu....Inatehemea unakula ya nani, ukiendekeza hizi za mtaani kwa mtogole na buza utakishwa hadi mkojo
Limbwata linakuhusuKuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,
Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja
Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..
Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?
Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo
Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,
Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao
But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.
Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Michepuko wengi hutumia ndumba ili aliyenaye ampandishe daraja.......hasa ukute wale umri umeenda, single maza,Inatehemea unakula ya nani, ukiendekeza hizi za mtaani kwa mtogole na buza utakishwa hadi mkojo
Fact kabisaUna madhaifu, huwez zunguka na mwanamke two years hujamla na still unamuwaza na kumgharamia! Huyo ashajua madahaifu yako, ukimlipia nyumba anaweza akakuonjesha kwa mashart sana ila kisha atakuchukia sana na pia na ww itakuuma sana sana hiyo fedha na utakuwa huna la kufanya.
Iko hivi:
Wanawake hawahutaji kugharamiwa fedha nyiingi No watalaam wanasema tunakosea hapo, japo nadhan hutanielewa, hebu nikuulize wale wanaoitwa play boy hana kazi wala hana hela hela zake ni kununua nguo kali, raba kali, basi! Wale jamaa wanakula demu yoyote na demu anaweza lipia penzi hilo, na demu anamgamda hatak amuache.
Kwa nn hawa play boy wasio na hela wanakula mtu yoyote wanaemtaka
1. Wanachukua hatua na huwa wanamuongoza mwanamke sio mwanamke kuwaongoza
2. Confidence (wanajiamin)
3. Wana lugha na miondoko wanayotaka mwanamke (little swaga)
4. They dont invest in women, they invest in themselves (less is more)
5. Wanavaa vizuri (dress up)
6. Wanawake wanataka mwanamme anaetakwa na wanawake (playboy anagonga kila demu, hao hao wanamponda ila ndio hao hao anawala sana). Ukijifanya huna mademu mwanamke anaona kama kaokota mtu ambae wengine hawamtaki.
Nitarudi ukinihitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada hajalogwa wala nini, ni ujinga, njaa ya papuchi, na kujiendekeza ndo umemjaa kichwani, wanaume wote tuna hulka za kijinga kama za mtoa mada sema tunazidiana viwango Evelyn SaltMichepuko kwa kuroga tu 🙌🙌🙌