Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

Acha ujinga Kaka. Hiyo pesa tumia kwa mkeo, mtoto wako na wazaz wako. Binafsi sipo tayar kuwa mtumwa wa uchi
 
Huwezi amini. Unaweza kuta kuna boya anamla kilaini tu ila kwako anakaza pengine kwa jinsi unavyomuona wa matawi.
 
Mzee Baba nimekuelewa sana
Lakin imenitokea kwa huyu manzi tu ana anamisimamo yake binafsi ambayo kila mbinu nashindwa kumnasa kirahis but anapenda vitu vya garama sana hata outing ya kwenda kulala anataka hotel ya laki tano kwa siku huwa anatafuta location mwenyewe huwa unanin is kuahirisha tu.

But madem wengine kawaida tu sana,,huo msimamo wake ndio huwa unanifanya nimtafute marakwamara na ukizingatia nishamsaidia sana
Acha kuhalalisha, huyo demu kakuona boya tu asee.
Kitendo cha kukwambia ana mtu wake na wewe bado ukaendelea kumsaidia akilia shida ndio kosa kubwa.
Ungemfungia vioo yeye ndo akutafute.

Kama mwamba alivyosema hapo juu, wanawake wanapendaga sana play boys na vichwa ngumu. Ila wewe laini tu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sex ulianza ukiwa na miaka mingapi???
Mpaka umeoa ulishatembea na wanawake wangapi???

Nachokiona mimi ni mshamba wa wanawake kaweka post yake tu comment au basi mtu aliyelogwa.Kifupi sio mtu timamu hapa
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja

Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..

Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?

Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo

Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,

Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao

But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.

Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Siyo kila demu utakae muhonga lazima umle,ukiona kuna ugumu sana wa kupewa mgeggedo wwe potezea! na Kama ni zali lako utatafutwa tu na utapewa kiiulaini bila kuforce king!!
 
Mtoa mada
Kuanzia Sasa nakutunuku cheo Cha KAPTENI SEVU E HOO[emoji116]
JamiiForums807150113.jpg
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja

Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..

Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?

Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo

Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,

Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao

But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.

Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.

Kosa kubwa la kwanza ulilolifanya, ni kuanza ku spend hela nyingi kwa mwanamke kabla hujamla. Kwahiyo sasa unaona shida kuachana nae maana unawaza hela zako nyingi ulizotumia zitakua zimeenda bure! Na huyo mwanamke analijua hilo, ndio maana anaendelea kukuvuta ili aendelee kukutumia zaidi. Na wewe unadhani kuwa ukiendelea kupandisha dau ndio utampata! Ila amin amin nakuambia, huyu mwanamke hutakaa umle labda umuwekee madawa ya kulevya umbake!!! Hii ni kwasababu yeye mwenyewe anajua kabisa kwamba ukishamla utakata mrija wa hela na wakati yeye bado hajamalizana na wewe.

Kosa la pili, kila siku nasema humu. Unapoanzisha mahusiano na mwanamke, hasa kama huyo mwanamke ni mzuri, una kipindi kifupi sana cha kuhakikisha umemla! Mimi hua nasema isizidi wiki mbili, maana ikishazidi hapo kumbuka mwanamke mzuri ana wanaume wengi wanaomfukuzia kwa mbinu mbalimbali. Kadri muda unavyopita bila kumla, ndivyo mvuto wako kwake unavyoenda ukipungua na mwisho anakua hana tena mzuka na wewe. Anabaki kukuchuna tu.

Mwisho kabisa nikushauri tu. Hakuna papuchi yenye thamani kubwa kiasi icho ambacho unataka kutoa. Hata ikitokea ukaja kumla, utajilaumu sana kwanini ulitumie hela zako nyingi wakati hautakuta maajabu yoyote.
 
Mkuu unaenda kuharibu maisha yako kwa kitu kidogo ambacho unaweza kukiepuka.....

Hiyo nafsi iliyokusitisha usifanye muamala endelea kuisikiliza.

Huyo dada hana cha kukupa zaidi ya alivyonavyo mkeo.
 
Mkuu unaenda kuharibu maisha yako kwa kitu kidogo ambacho unaweza kukiepuka.....

Hiyo nafsi iliyokusitisha usifanye muamala endelea kuisikiliza.

Huyo dada hana cha kukupa zaidi ya alivyonavyo mkeo.
Halaf kamu-overate kwenye mindset yake ilihal huyo demu anapuu chooni choo kinajaa harufu, anakojoa na sometime mkojo unamchrizika ndani ya kyupi, analeta pozi kwa vile kapata wa kumfanyia pozi ila kiukwel mademu waliumbwa kwa ajili yetu tuwale, hizo zingine huwa mbwembwe tu zisizo na mshaiko, jamaa akijiongeza kidogo kwa kutuliza akili anamkula simple tu bila kutumia garama zote hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo inaonesha huna upendo nae ,ni kwa ajili ya ngono ..

Tenga hata laki NNE mpeleke Magoroto huko mtoke out ,huko mtalala na utampelekea moto mpaka mbunye utabaki unaishika bila hamu yeyote ...

Usijidanganye kupangisha na kufunga ndoa na mchepuko wakati unafamilia ,utajuta ,..

Unaenda kupoteza vyote ,familia yako na huyo huyo mchepuko .!
Point
 
Mpaka hapo brain yako ishafanya maamuz huku nazan umetushirikisha tuone ulivyo kichwa kumaji kwan kiwango chako cha kufikili na kutenda kimesha kamilika.
But naomba usitujumlishe kuwa wanaume wote tuna akili kama zako.
 
Back
Top Bottom