Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 751
Kama hautojali naomba maelezo ya hizo zote mbili CIF na FOB.Ni za kweli,hapo kwenye hizo bei kuna FOB na CIF sasa sijui wewe unaulizia ipi?
Hiyo CIF ni Cost Insurance and Freight hii ni gharama ya gari,bima ya gari yako na gharama ya usafiri mpaka nchi uliopo na hiyo FOB ni Free on Board hii nayo ni bei ya gari tu,likiwa kule Japan.Kama hautojali naomba maelezo ya hizo zote mbili CIF na FOB.
Ni za kweli kabisa, ni waaminifu. Go on!Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Wako poa sana,hutajutia..Ni za kweli kabisa, ni waaminifu. Go on!
ndio almost two times of that costOkey nimeomba quotation kwa gar flani iv wanasema CIF ni $4000 mpaka Dar, hiyo inamaanisha mimi nitagharamikia Kodi tu right?
Two times? What does that mean brother, do u mean tax can be up to $4k ?ndio almost two times of that cost
Hii ndo quotation wamenitumia, nikijumlisha cost za kodi hapa tz inaweza kuwa mara mbili ya hiyo?Hiyo uliyoina ni FOB price yaani Free on Board ni bei ya gari tu na haijumuishi usafirishaji wala bima ya mzigo njiani. Weka sehemu ya mji mfano Dar es Salaam au Zanzibar utapewa bei ya CIF ya Cost Insurance and Freight ambayo inajumuisha gharama za ununuzi usafirishaji na bima. CIF ndio bei halisi utakayolipa mpk gari inafika bandarini kabla ya kodi za nchini ambazo roughly ni mara kama bei uliyolipia CIF
That’s right, or a little moreTwo times? What does that mean brother, do u mean tax can be up to $4k ?
Twice as much as 4 US$ means what? 8 US$.. then totals 12 US$.. clarification pleaseThat’s right, or a little more
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?Twice as much as 4 US$ means what? 8 US$.. then totals 12 US$.. clarification please
That is the mode of taxation in TZ. It might even go higher! Quite exorbitant!The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
Mbona kawaida Ndio kodi zetu hizoHii ndo quotation wamenitumia, nikijumlisha cost za kodi hapa tz inaweza kuwa mara mbili ya hiyo?
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
Hii ndo quotation wamenitumia, nikijumlisha cost za kodi hapa tz inaweza kuwa mara mbili ya hiyo?