Ushawahi kununua gari Be Forward?

Ushawahi kununua gari Be Forward?

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
756
Reaction score
751
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
 
Ni za kweli,hapo kwenye hizo bei kuna FOB na CIF sasa sijui wewe unaulizia ipi?
 
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Ni za kweli kabisa, ni waaminifu. Go on!
 
Hiyo uliyoina ni FOB price yaani Free on Board ni bei ya gari tu na haijumuishi usafirishaji wala bima ya mzigo njiani. Weka sehemu ya mji mfano Dar es Salaam au Zanzibar utapewa bei ya CIF ya Cost Insurance and Freight ambayo inajumuisha gharama za ununuzi usafirishaji na bima. CIF ndio bei halisi utakayolipa mpk gari inafika bandarini kabla ya kodi za nchini ambazo roughly ni mara kama bei uliyolipia CIF
 
Hii ndo quotation wamenitumia, nikijumlisha cost za kodi hapa tz inaweza kuwa mara mbili ya hiyo?
dcf07fc18bb52e7e0a0731360599e224.jpg
 
Twice as much as 4 US$ means what? 8 US$.. then totals 12 US$.. clarification please
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
 
That is the mode of taxation in TZ. It might even go higher! Quite exorbitant!
 
Hii ndo quotation wamenitumia, nikijumlisha cost za kodi hapa tz inaweza kuwa mara mbili ya hiyo?
dcf07fc18bb52e7e0a0731360599e224.jpg
Mbona kawaida Ndio kodi zetu hizo
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
 
Mbona kufahamu kodi ya gari inayopaswa kulipwa ni very simple.. ingia website ya TRA kisha nenda 'calculator and tools' hapo utaona namna kodi inavyokadiriwa usiogope. Ila ukiona gharama ya kodi hapo ni kubwa na unadhani sio afiki unaweza kukata rufaa kwa kamishna wa kodi hapo bandarini.
 
Back
Top Bottom