there is that TRA calculator, you can forecast based on your car modelThe CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
Exorbitant taxes!mwambie mwenzako watakachomfanya pale bandarini pia
Lakini kodi pia inategemea gali limetengenezwa lini (mwaka)...kama jipya, Kodi haiwezi kuwa kubwa khivyo. Ingawa gari jipya ni ghari zaidi.That is the mode of taxation in TZ. It might even go higher! Quite exorbitant!
Nakubali kabisa, haya ya used nadhani wanayatax sana bila sababu ya msingi hata kama ipo ni too high! huge tax one can declare!Lakini kodi pia inategemea gali limetengenezwa lini (mwaka)...kama jipya, Kodi haiwezi kuwa kubwa khivyo. Ingawa gari jipya ni ghari zaidi.
Hahahaa, SBT wanalazimisha biashara!Achana na hao wazembe wazembe,unaagiza gar kwa spef unazotaka au kuchagua wanalwta ujinga ujinga gar za ajab ajab,,agiza SBT utakuja kunipa mkono siku moja,,,
Wapi, CMC?Siku nikitaka kununua gari naenda direct kwa wauzaji jamaniii
Kodi ipo vizuri, ukitaka kulipa kodi halali nunua gari mpyaJapo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?
Pia vp juu ya usahihi wa ile online TRA vat calcutaion? Si that not reliabke? Nikiitumia napata km 3/4 ya CIF. Imekaaje iyo?
Okey hiyo harrier yako kufikia kuipata ulikuwa umetumia kama Mil ngapi?Hiyo gari mpk uipate itagharimu milioni kama 20 na kidogo. Halafu hiyo bei kama kubwa sana kwa vitz. Mie nilinunua Harrier usd 3900 mwaka juzi ya 2004
Asante kwa ushauri chiefMbona kufahamu kodi ya gari inayopaswa kulipwa ni very simple.. ingia website ya TRA kisha nenda 'calculator and tools' hapo utaona namna kodi inavyokadiriwa usiogope. Ila ukiona gharama ya kodi hapo ni kubwa na unadhani sio afiki unaweza kukata rufaa kwa kamishna wa kodi hapo bandarini.
Kabla hujaagiza gari chagua gari unayoitaka then nenda TRA calculator ingiza hizo details za hio gari utapewa kiasi halisi cha kodi inachobidi ulipe....Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
ilifikia milioni 22.8Okey hiyo harrier yako kufikia kuipata ulikuwa umetumia kama Mil ngapi?
Duuuuh, noma sana aisee, yaani kutoka Mil 5 ya gar (CIF) hadi Mil 22.8?ilifikia milioni 22.8
Serikali inategemea kodi ipatikane hapoHili swala sijawahi kulielewa, kwanini gari toleo jipya kodi yake ni kubwa kuliko Matoleo ya zamani, hawaoni kama wanafanya nchi yetu kuwa dampo maana watu wanaagiza gari za hadi miaka ya 90 kisa kodi yake ni ndogo. Mwenye uelewa na hizi kodi anisaidie
Ndio uko sawa mkuuOkey nimeomba quotation kwa gar flani iv wanasema CIF ni $4000 mpaka Dar, hiyo inamaanisha mimi nitagharamikia Kodi tu right?