Ushawahi kununua gari Be Forward?

Ushawahi kununua gari Be Forward?

The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
there is that TRA calculator, you can forecast based on your car model
 
That is the mode of taxation in TZ. It might even go higher! Quite exorbitant!
Lakini kodi pia inategemea gali limetengenezwa lini (mwaka)...kama jipya, Kodi haiwezi kuwa kubwa khivyo. Ingawa gari jipya ni ghari zaidi.
 
Lakini kodi pia inategemea gali limetengenezwa lini (mwaka)...kama jipya, Kodi haiwezi kuwa kubwa khivyo. Ingawa gari jipya ni ghari zaidi.
Nakubali kabisa, haya ya used nadhani wanayatax sana bila sababu ya msingi hata kama ipo ni too high! huge tax one can declare!
 
Siku nikitaka kununua gari naenda direct kwa wauzaji jamaniii
 
Beforwad ukitaka kununua gari bei chee subiri kipindi cha mwaka mpya na christmas pale gari huwa zinapata punguzo la hadi asilimia 98 fob. Usafiri huwa hauzidi dola 1200 kwa gari ndogo, shida huwa zikifika bongo ushuru ndo balaaa ni kama 4mil kwa gari ndogo. Kama upo dar nenda pale oceanroad kuna ghorofa hivi wanaishi wafanyakazi wa ikulu, chini kuna ofisi zao. Ukifika pale unachagua gari wanakupa gharama zote then unalipia nusu, na nusu utamalizia gari ikifika, wanafanya wao mpaka crealence wewe unaenda kuchukua gari ofisini kwao na kuendelea na ustarabu binafsi
 
Japo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?
Pia vp juu ya usahihi wa ile online TRA vat calcutaion? Si that not reliabke? Nikiitumia napata km 3/4 ya CIF. Imekaaje iyo?
Kodi ipo vizuri, ukitaka kulipa kodi halali nunua gari mpya
 
KARIBU PIA NA WENGINE MUAGIZE GARI ZENU KUPITIA SBT JAPAN, Tunarahisisha mchakato hadi kukukabidhi gari mkononi. Week 6 tu gari unakabidhiwa. Gari za uhakika kwa sasa ni SBT. Karibu, ukipenda tafadhari wasiliana nami 0692096669; au Tembelea: www.sbtjapan.com
Chagua gari kisha nipe stock Id yake tukupe bei.
 
Hiyo gari mpk uipate itagharimu milioni kama 20 na kidogo. Halafu hiyo bei kama kubwa sana kwa vitz. Mie nilinunua Harrier usd 3900 mwaka juzi ya 2004
Okey hiyo harrier yako kufikia kuipata ulikuwa umetumia kama Mil ngapi?
 
Mbona kufahamu kodi ya gari inayopaswa kulipwa ni very simple.. ingia website ya TRA kisha nenda 'calculator and tools' hapo utaona namna kodi inavyokadiriwa usiogope. Ila ukiona gharama ya kodi hapo ni kubwa na unadhani sio afiki unaweza kukata rufaa kwa kamishna wa kodi hapo bandarini.
Asante kwa ushauri chief
 
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Kabla hujaagiza gari chagua gari unayoitaka then nenda TRA calculator ingiza hizo details za hio gari utapewa kiasi halisi cha kodi inachobidi ulipe....
NB.
Make sure CIF yako iwe ndogo zaidi ya Ile CIF(custom value) inayosoma kwenye ubao wa TRA calculator, maana CIF yako ikiwa kubwa basi gari ikifika wataipigia kwenye CIF yako ambayo ni the highest
Pia vile TRA wanatumia identical goods custom valuation kwenye magari, so wanapanga CIF kutokana na market value ya hio gari so gari mpya inakua ina CIF kubwa kuliko ya zamani pia ili kodi iwe ndogo nunua gari iliyokua manufactured after 2010
 
Hili swala sijawahi kulielewa, kwanini gari toleo jipya kodi yake ni kubwa kuliko Matoleo ya zamani, hawaoni kama wanafanya nchi yetu kuwa dampo maana watu wanaagiza gari za hadi miaka ya 90 kisa kodi yake ni ndogo. Mwenye uelewa na hizi kodi anisaidie
Serikali inategemea kodi ipatikane hapo
 
Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.

Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
 
Back
Top Bottom