Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Eeee hadi una namba zake niambie kwa siku anakupigia mara ngapi??
Tunaongea tukiamka, mchana akiniuliza kama nshapata chakula cha mchana, jioni akitoka kazini na usku kabla hatujalala
Kwani yeye anakupigiaga mara ngap?
 
Tunaongea tukiamka, mchana akiniuliza kama nshapata chakula cha mchana, jioni akitoka kazini na usku kabla hatujalala
Kwani yeye anakupigiaga mara ngap?
Hajawah basi unapendwa wewe
Yanin mie basi nimeachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…