Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Heee kumbe kweliiiWanashuhudia tokea comment ya kwanza[emoji3]
Wanapita[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee kumbe kweliiiWanashuhudia tokea comment ya kwanza[emoji3]
Wanapita[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
Ngoja nijichungulie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kha! Kwa hiyo ile 30k nilikutimia kumbe nimetumia dume lezangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Embu jaribu kwanza tuoneUnavyonishawishi kupasha kiporo sasa🤣.
Nimemuacha tu aendelee na maisha yake Kwa amani, ana mapenzi kiasi hastahili drama zangu tena, I wish him peace.
Sasa umekua?🤣🤣🤣 Hawezi kubali kiporo, nilimletea utoto sana.
Bwahahahahahaa ebu ncheke kwanza mieeee 🤣🤣🤣🤣!! cocastic shougaaangu una vigezo kwanzaaaaa! Yule mtyu wa watyuu wa viwango shossssssss usiwe sura ngumu ka mie hapaaaaa kimbilio la wakosefu Auwiiiiiiiiii🤗Subiri aingie kama ataingia
Yan kama ana vigezo vya kuingia 🤣
Akitemwa atafyata kama ulivyofyata
Usimuonee wivu
Hahaha
Eti cocaaa na we utaingia 😂😂😂💃
How I wished Mr B awe wa kwanguWanashuhudia tokea comment ya kwanza[emoji3]
Wanapita[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
Yeah tunabebishwa tu,raha sana.JF?!!....humu labda hit and run....watu washajimilikisha vimwana wanabebishana tu wakat mim msukuma wa watu sina hata wakusingiziwa...tosha gete bhagosha!
Hana nini? [emoji15][emoji23]Ndrrriiioooo ndrrriiioooo!!!! Hanaga shida kabesaaa shoss anguuu utaenjoy [emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Zaidi ya kukua, maisha yamenitupa field, nimefundishwa Kwa vitendo....!Sasa umekua?
Kitulize sasaZaidi ya kukua, maisha yamenitupa field, nimefundishwa Kwa vitendo....!
Kila MTU ana mtu wake,How I wished Mr B awe wa kwangu
Kumbe ana ntu ake tayari...
Aje ajibu basi na yeye ashukuru
Nikitulize mara ngapi?🤣🤣🤣 NimetuliaaaKitulize sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh kumbe kuingia huko kunatakiwa vigezo? Haya mnijuzee ni vigezo gani hivyoooo???Subiri aingie kama ataingia
Yan kama ana vigezo vya kuingia [emoji1787]
Akitemwa atafyata kama ulivyofyata
Usimuonee wivu
Hahaha
Eti cocaaa na we utaingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]
Ongezaaaa sauti mchumbaaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Cocastic ni mchumba[emoji849] huyo anayetaka kumchukua nitaroga toto la mtu, nionekane mbaya
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Mi wa bushiiiiii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😂😂😂 sasa mjini mnakaaje bila mipango