Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Kha! Kwa hiyo ile 30k nilikutimia kumbe nimetumia dume lezangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ngoja nijichungulie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ongeza 70 itimie bhana[emoji2957]
 
Subiri aingie kama ataingia

Yan kama ana vigezo vya kuingia 🤣

Akitemwa atafyata kama ulivyofyata
Usimuonee wivu

Hahaha
Eti cocaaa na we utaingia 😂😂😂💃
Bwahahahahahaa ebu ncheke kwanza mieeee 🤣🤣🤣🤣!! cocastic shougaaangu una vigezo kwanzaaaaa! Yule mtyu wa watyuu wa viwango shossssssss usiwe sura ngumu ka mie hapaaaaa kimbilio la wakosefu Auwiiiiiiiiii🤗

Dj waletreeeeee 💃💃
 
Subiri aingie kama ataingia

Yan kama ana vigezo vya kuingia [emoji1787]

Akitemwa atafyata kama ulivyofyata
Usimuonee wivu

Hahaha
Eti cocaaa na we utaingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh kumbe kuingia huko kunatakiwa vigezo? Haya mnijuzee ni vigezo gani hivyoooo???

Mie hata nikitemwa sitaufyataa as if nikiingia lakini,

Kwa JF hapanaaaaa, siwezi ingiaaa. Wa mtaani wanatoshaa eti.
 
Back
Top Bottom