Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Walikufanyaje?
Hivi uki date na mpare mmoja lazima wafate hao hao tu

Maana wanasema shetani akikushindwa anakutumia mpare
Sijawahi date mpare kwakweli🤣🤣🤣🤣
Huyo jamaa hakuwa mpare.

Hivi umewahi kuwa stalker?
 
Wakuu hvi mtu akikuambia nitajuaje kama unanipenda kweli ndo huwa mnajibuje😀
 
Kama dada akikohoa inatoka hapa kiufundi tatizo lipo wapi sufuria au mwiko?

ShesRise_1 na wenzio leta majibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…