Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,657
- 2,723
ukafanye nini?Wanapatikana wapi
ukafanye nini?Wanapatikana wapi
Kwenye vilabu vya komoni na ulanzi unashika tu mkono ukitaka kuoa sawa ukitaka kupita pia sawa ye hana shida vyovyote utavoamuaWanapatikana wapi
Utafitiukafanye nini?
Kumbe wa vilabuni okayKutongoza saivi simple sana
Kwenye vilabu vya komoni na ulanzi unashika tu mkono ukitaka kuoa sawa ukitaka kupita pia sawa ye hana shida vyovyote utavoamua
ok! na mimi unipitie nikatoe huduma!Utafiti
🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe wa vilabuni okay
Kwakweli sio poakumuingia mtu moyoni na kumfanya akuwaze bila upasuaji wowote siyo kazi ya kitoto
😂😂 sawa mkuuNamjua huyo labda kama wewe ni mgeni😂
Mama sofi mwenye makebo yake mjiniMama Sofi kipindi hiko nilikuwa nikikutana naye mtaani ananikonyeza na makebo yake mshenzi yule Ananiita Kaka wakati ananizaa kabisa! ilipita kipindi kirefu tunasalimiana tu akiniona full kujichekesha nikaona atakuja kuniona shoga sio kwa ishara zile akizokuwa ananionyesha Nikamfungukia, ananiambia ulikuwa wapi muda wote unakuwa kama mtoto mdogo! na akanitunuku Kitumbua mama muhuni yule sema alinikuta niliyekubuhu alininyooshea mikono!
Hawa hawa, msichana anaweza akawapa wote akakunyima wewe tu kiongozi usichukulie poaWanawake wawapi unaosema kuwatongoza mpaka uwe na skills hawa hawa
Akili mtu wangu😁😂😂 sawa mkuu
Mwanafunzi mtoro 😏siti yangu ishawahiwa tayali hebu nikae huku kwa back bencher😜😎
Kama kawaida hesabu za kutoa, unakopa af unaenda na moja kichwani uongo😂Akili mtu wangu😁
Ewaaaaaaaa kumbe una elewaKama kawaida hesabu za kutoa, unakopa af unaenda na moja kichwani uongo😂