Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

very hard
umshawishi mtu mpaka akuelewe, akishakuelewa umfanye tena akuamini akishakuamini uanze tena kumshawishi akuvulie bila skills hupati hio kitu
Wanawake wawapi unaosema kuwatongoza mpaka uwe na skills hawa hawa
 
Jf hakuna mtu ashashindwa na hilo wote mistari tunaijua kwa madem tena pisi kali afu kikubwa zaidi tunamiliki migari, mijumba mikubwa na mkwanja kila mfuko demu atachomoaje beshte. Msema kweli mpenzi wa mungu hadi mda huu kuna nesi nampenda hos ya mdm kwa mwenye anaijua tatizo sio domo zege no tatizo ni ule uchangamfu anaokuja nao kwangu yaani anajiamin kiasi kwamba nashndwa kumwambia ila bas tu.
Jikaze kijana mwaga sera
 
Back
Top Bottom