win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
mtoro hapana ila ni mchelewaji🤭😜Mwanafunzi mtoro 😏
mtoro hapana ila ni mchelewaji🤭😜Mwanafunzi mtoro 😏
Hehehehe hawezi kuchezea hisia zako hivyo mloge tafadharimi nishawahi kujimaliza ila akanambia anae mtu wake😩 sijawahi kuheal mpka leo😅 dadeq
😂😂 sasa si ndiyo, nipo kwenye game kitambo na hicho unaambiwaEwaaaaaaaa kumbe una elewa
Ulilaliwa nini 😉mtoro hapana ila ni mchelewaji🤭😜
tatizo tulikua nursery🤣🤣 saivi sijui yupo wapi ningekua nishamloga mapemaaaHehehehe hawezi kuchezea hisia zako hivyo mloge tafadhari
Mwanamke ukiweza kumtawala hapo chini umemaliza kila kitu!Mama sofi mwenye makebo yake mjini
Akakutana na wewe umekubuhu🔥
Hivi ilimfanyaje mpka akainua mikono juu😃
Zamani kipindi sijaokolewa na mwenyezi, nilikua nikizinguliwa na manzi kidogo tu Nisha mkunja makofi.Gesi imeisha , babu kameza kijiko , nywele zimefumuka , mafuta yameisha , ni vile upwiru tu , vinginevyo ningepiga mikausho tu
Shenziiiiii zako nataka story fresh ya hivi karibunitatizo tulikua nursery🤣🤣 saivi sijui yupo wapi ningekua nishamloga mapemaaa
mi napendaga kulalia ndo nafeel, hiyo kulaliwa hapanaa😅😅😅Ulilaliwa nini 😉
Weee sema kweli 😂😂Mwanamke ukiweza kumtawala hapo chini umemaliza kila kitu!
ety story fresh🤣🤣🤣 hautaki zilizo lala zikachacha?Shenziiiiii zako nataka story fresh ya hivi karibuni
Wewe ni mkuria auZamani kipindi sijaokolewa na mwenyezi, nilikua nikizinguliwa na manzi kidogo tu Nisha mkunja makofi.
Mimi nimemaliza saiv mwepesi shemeji yako kalala pembeni yupo hoi ila mie mkavuu😂😂😂 nipo jeyihefumi napendaga kulalia ndo nafeel, hiyo kulaliwa hapanaa😅😅😅
Sitakiii mambo ya zilipendwa mimiety story fresh🤣🤣🤣 hautaki zilizo lala zikachacha?
Nikuulize hata wewe mkuu Ama naongopa?Weee sema kweli 😂😂
Wala huongopi bana kweli kabisa 😂😂Nikuulize hata wewe mkuu Ama naongopa?
Umeongea ukweli!Wala huongopi bana kweli kabisa 😂😂
umemaliza kunin kwanza 🤭 kwan sikuhizi wadada hamlali after kunaniliu😄🙊,, huyu wangu huwa anahakiksha nimezima ndo ananiachaMimi nimemaliza saiv mwepesi shemeji yako kalala pembeni yupo hoi ila mie mkavuu😂😂😂 nipo jeyihefu
mi nataka bwana aah👌🤣Sitakiii mambo ya zilipendwa mimi
Sukuma gang dear, ni vile tu nilikua mtu wa mishemishe, kukimbizana na pesa, mapenzi siyaelewi kabisa, nilikua sidumu na demu mwezi kidogo tu Nisha mchukua makofi, na matusi kibao, yani umasikini ulinifanya niwe na hasira,Wewe ni mkuria au