Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 1,170
- 1,355
Haya!Wanawake tunatofautiana jamani
MF mimi napenda age go
Haya!Wanawake tunatofautiana jamani
MF mimi napenda age go
age go ndo mwanaume gani binti 😅😅Wanawake tunatofautiana jamani
MF mimi napenda age go
Kumbe ikogo ivyo😁Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Inafaa ndio kalia usukani endesha gari mie ukiona nimetoka online ujue round two ipo kwa hewanitajaribu si hata saivi inafaa eeh?
Uchoyooooo😀😀😀 usije saivi penzi bado la motroo ni mwendo wa kuloweka hakuna mda wa kupokea au kuongea na wageni
Uzi siwangu we toka njee ya mada nimekuruhusuyoyoyoo Kwani uzi unahusiana na nini hebu nisijiachie nikatoka nje ya mada am soreeee 😩😅😅
Anaekaribia uzee mandeke yanaanza kuota mviiage go ndo mwanaume gani binti 😅😅
KaribuHaya!
Ooh okayoukyy ndo nimekwambia saivi
Wahammmmh hivi kigoma ndo wanakaa watu wa,aina gani kwanza?
Na mombasa 🏃♀️🏃♀️alf nafanania na wapi cheusi mimi😉
hii labda nivumilie mpka kesho maana saivi loooh kunawaka moto hii honeymoon sio ya mchezo mwanetu😅😅😅Inafaa ndio kalia usukani endesha gari mie ukiona nimetoka online ujue round two ipo kwa hewa
Uchoyooooo
Usikute kweli unaishi na mshakaji hapo 🤣🤣
Uzi siwangu we toka njee mada nimekuruhusu
yani make ke ke ke nde yawe na mvi? 😀😀 sas nguvu za kusimamish mnara zipo kwelu?Anaekaribia uzee mandeke yanaanza kuota mvii
Akili yangu hakuna kijana anaweza ku deal nayo🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
In love love 😝 Yani Love linaruka kama Bisi 😅Niambie kwanza upo in love sehemu?
Mimi kazi yangu nikufufua vilivyokufa binti🤣🤣yani make ke ke ke nde yawe na mvi? 😀😀 sas nguvu za kusimamish mnara zipo kwelu?
Akili yangu unaijuawapo wengi tu labda hauja m bahatisha,,, Kwani akili yako ipoje kwanza 😄
Tatizo lipo wapi mpka hiyo love iwe kama 🍿In love love 😝 Yani Love linaruka kama Bisi 😅
Kwani mnapigana au 🤣🤣🤣hii labda nivumilie mpka kesho maana saivi loooh kunawaka moto hii honeymoon sio ya mchezo mwanetu😅😅😅
Heh😱 umehamia kwenye ukunihata pale nilipokua nakaa mwanzo nishahama ujue😀 saivi ni mwendo wa kulala naked tu
Malizia ya mwisho babengoja nikaze kaze kidogo nisijianike sana loh😅😅
Karibu tushangae woteKumbe ikogo ivyo😁
hatupigani ila anasema imejaa utramuu🤭 maana BF hatujaanza kukaa pamoja nilikua kwenye dose ya matunda esp nanasi na machungwa, asali, bamia sa ukiongeza na ile joto natural ni anapiga tu mpka anamuita Mungu wake🤭Kwani mnapogana au 🤣🤣🤣
Tumia hata parachute binti sayuni
Au loweka bamia
Nachoka mimi😅😅
Heh😱 umehamia kwenye ukuni
Kwishaaaaa
Malizia ya mwisho babe
Eeeh wacha weee hiiiiii mbona naogopa mie binti Hassanhatupigani ila anasema imejaa utramuu🤭 maana BF hatujaanza kukaa pamoja nilikua kwenye dose ya matunda esp nanasi na machungwa, asali, bamia sa ukiongeza na ile joto natural ni anapiga tu mpka anamuita Mungu wake🤭
Hapa nilipo natetemekasijahamia tu ile sogea tukae ila nimeolewa binti hivi hauelewi nikuokotee mawe si ndioo 😏 mimi na usingle ni bye bye
Viburi viko juu sana kwa Kila mtu kwenye Hilo husiano 😅Tatizo lipo wapi mpka hiyo love iwe kama 🍿
Punguzeni kipaji cha Ego we na ba mtu😅😅Viburi viko juu sana kwa Kila mtu kwenye Hilo husiano 😅
Tunaweza kutoka vizuri tu.
Jamani itokee mtu kanisemesha au ghafla tumekutanisha macho.
Tayari mtoko unaishia hapo Kila mtu anarudi na njia yake
Hamna anayembembeleza mwenzie.😜Punguzeni kipaji cha Ego we na ba mtu😅😅
Mtakufa vibaya nakuhurumieni washenzi nyieHamna anayembembeleza mwenzie.😜
Weee watu waojifunika shuka moja mi sitii nenoNtakupa namba ushauri shem wako.