Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Basi tunaomba utufundishe mkuu.
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣




ShesRise_1 ✋️
Dah! Mimi ni mmojawao wa madomozege hebu nipe njia kwakuwa wewe ni mwanamke nadhani utanisaidia, hivi mwanaume kabla ya kumtokea demu anatakiwa aweje au ni kipi mwanaume azingatie? Please nipe maujanja nianze mazoezi.
 
umemaliza kunin kwanza 🤭
nimemaliza kufanya matusi cha jioni jioni kabra jua halijazama nacho kitamuuu mnooo jaribu uone diha
kwan sikuhizi wadada hamlali after kunaniliu😄🙊,,
nililala kidogo saiv ndio nimeshtuka
Ngoja tuone round two kama nitazima au lah😂😂😂
huyu wangu huwa anahakiksha nimezima ndo ananiacha
Mnafanya mapenzi kwa Enjoyment
au hua unakula nauli shoga😂😂😂

Au na wewe pumzi kisoda binti
 
nimemaliza kufanya matusi cha jioni jioni kabra jua halijazama nacho kitamuuu mnooo jaribu uone diha

nililala kidogo saiv ndio nimeshtuka
Ngoja tuone round two kama nitazima au lah😂😂😂

Mnafanya mapenzi kwa Enjoyment
au hua inakula nauli shoga😂😂😂

Au na wewe pumzi kisoda binti
Kabra❌

Kabla✅
 
Dah! Mimi ni mmojawao wa madomozege hebu nipe njia kwakuwa wewe ni mwanamke nadhani utanisaidia, hivi mwanaume kabla ya kumtokea demu anatakiwa aweje au ni kipi mwanaume azingatie? Please nipe maujanja nianze mazoezi.
Sasa wanawake tumetofautia ujue
Jitahidi usiwe mtu wa masifa sana
Vaa vizuri lakini sio kihuni
Naaaa.....bana mi sijui🤣🤣🤣
 
nimemaliza kufanya matusi cha jioni jioni kabra jua halijazama nacho kitamuuu mnooo jaribu uone diha

nililala kidogo saiv ndio nimeshtuka
Ngoja tuone round two kama nitazima au lah😂😂😂

Mnafanya mapenzi kwa Enjoyment
au hua inakula nauli shoga😂😂😂

Au na wewe pumzi kisoda binti
kumbe hadi cha jioni kipo? nitajaribu kwa kweli nione how it taste 👅

Nile nauli kwa mume tena? 🤣🤣 yani huwa anapenda kuniona nimechoka maana mi bila kulala fofofo ujue bado kuna kojo la haja halija toka🤭
 
Sasa wanawake tumetofautia ujue
Jitahidi usiwe mtu wa masifa sana
Vaa vizuri lakini sio kihuni
Naaaa.....bana mi sijui🤣🤣🤣
Lakini mnapenda kutongozwa kweli? mbona wengi huishia kunionyesha madharau au kwa sababu mi mfupi? lakini huwa nafata niliowazidi kimo.
 
Lakini mnapenda kutongozwa kweli? mbona wengi huishia kunionyesha madharau au kwa sababu mi mfupi? lakini huwa nafata niliowazidi kimo.
Sijui kwa wenzangu kwakweli mi sipendi kutongozwa aisee tena niwe in love sehemu ndio kwanz nakuona takataka🤣🤣
 
Sijui kwa wenzangu kwakweli mi sipendi kutongozwa aisee tena niwe in love sehemu ndio kwanz nakuona takataka🤣🤣
Je ni kweli wanawake mara nyingi mnapendelea wanaume warefu?
Halafu mimi naongea serious sio utani napata shida sana kwenye hii sekta.
 
Kuna watu kutongoza wanachukulia simple, ni kazi ngumu hasa pale unapokua hauna mbele wala nyuma kama kitumbua. Nikipata pesa nitatongoza nikizikosa basi
 
Jaribu please ni kitamu mnooo💋

kumbafuuuu nitafunga safari nije nimuone pyeee

Endelea kuanika magoro mie simo🙌
nitajaribu si hata saivi inafaa eeh?

😀😀😀 usije saivi penzi bado la motroo ni mwendo wa kuloweka hakuna mda wa kupokea au kuongea na wageni

yoyoyoo Kwani uzi unahusiana na nini hebu nisijiachie nikatoka nje ya mada am soreeee 😩😅😅
 
Back
Top Bottom