Usiombe ikukute hiyo aiseeUmewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Imewahi kukuta wewe nipe experience yako mkuuUsiombe ikukute hiyo aisee
Sema mpenzi wangu 🤣Niseme, nisiseme? Au basi.
Aisee anaonesha signal una mpuuza zambiiiEnzi zangu ilikua ni tongoza tongoza hovyo bila hata mfumo maalumu.
Ila kwa sasa yes unaweza kudhani ni domo zege na ni bora udhani hivyo ila sio kua na mtu ambae simkubali kwa namna fulani hata aoneshe signs zote za kunikubali.
siyo dhambii kumpuuza wengine wanakuwa hawana vigezo ni wa kawaidaAisee anaonesha signal una mpuuza zambiii
Basi subiri. Nitarudi 😂😂Sema mpenzi wangu 🤣
Urudi banaBasi subiri. Nitarudi 😂😂
Ndio hivyo bora kumpuuza kuliko kua nae na akaumia zaidi.Aisee anaonesha signal una mpuuza zambiii
Sahihi una utu na utulivuNdio hivyo bora kumpuuza kuliko kua nae na akaumia zaidi.
Uko tayarii??Urudi bana
Nipo tayari enheeeeeeeUko tayarii??
Safiiii 🔥🔥Me nikimpenda mwanamke nakwambia siwezi ogopa mwanamke yoyote kwenye maisha yangu nawachanaga live ,swala la kukubali,kunionaje au kunikataa Ni Maamuzi yake mwenyewe
OkUmewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Okay
Shule ya msingi au secondary?Ndio nilikuwa in love na mwalimu wangu
SecondaryShule ya msingi au secondary?