Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Hukuona hata wanafunzi wenzio hivi
Au ndio huota popote
I had only one crush in primary ambae till date ninampenda. Ila kwa kipindi kile nilijua mapenzi ya dhati ni kwa mwanamke mkubwa.
Huwezi amini mpaka na maliza secondary I never had a girlfriend
 
Mimi ni shy na muoga muoga, sio muongeajii , mkimya na Nina upole ambao hata nikiweka picha hapa unauona.. ila nikifall kwa kwa mtu Huwa na change nakua aggressive mpaka nakamilisha jambo langu.

NB. NIMEWAI TONGOZWA SANA NA WADADA KWA MUONEKANO WANGU ILA UNWONDERFUL ENOUGH HUWA NIKITONGOZWAGA SIKUBALIGI NAONAGA NI KITENDO CHA AJABU SANA SANAAAAAA.. KUNA MDADA MMOJA MREMBO TU SIJUI KWA NINI HUWA HACHOKI KUNITONGOZA MIAKA ZAIDI YA SABA SASA NA SIJAWAI KUMKUBALIA
 
I had only one crush in primary ambae till date ninampenda. Ila kwa kipindi kile nilijua mapenzi ya dhati ni kwa mwanamke mkubwa.
Huwezi amini mpaka na maliza secondary I never had a girlfriend
Huyo crush mpka leo una mpenda wa shule ya msingi ?uwiiiii na yule mega sijui nani he we mtoto!
 
We jamaa Wacha chai
Nipe namba zake nimshugulikie mimi
 
Mimi ni shy na muoga muoga, sio muongeajii , mkimya na Nina upole ambao hata nikiweka picha hapa unauona.. ila nikifall kwa kwa mtu Huwa na change nakua aggressive mpaka nakamilisha jambo langu
eeh ukipenda unaweka upole pembeni safiiiiiii
Wanawake na sisi tuna hisia ujue
Kwa sababu ya mitazamo ya watu juu yetu hua tunakufa na tai shingoni
 
Yuko crush mpka leo una mpenda wa shule ya msingi ?uwiiiii na yule mega sijui nani he we mtoto!
Yes, her name is Amina... Akiona hii comment lazima ajue..

meghan markle huyu nili catch soo hard feelings na ni mkubwa kwangu pia.. I like intellectual women.. Women who can make me think, women ambao watanipa uchangamfu wa akili.. Ndo maana huwa nafukuzia mishangazi... Kama huyu binti kiziwi naye kaingia kwenye rada sasa..

Na ww ulikuwa ila baada ya kuona ww n mgumu imenibidi nishushe silaha chini sadly
 
Yes, her name is Amina... Akiona hii comment lazima ajue..
Hongera kwa Amina wanakuaga wazuriii😊
Unataka kulelewa kijana mdogo😂😂
Kujificha kwenye kichaka cha uchangamfu wa akili😎
Na ww ulikuwa ila baada ya kuona ww n mgumu imenibidi nishushe silaha chini sadly
Nimecheka mpka nagalagala chini eeeeeeh mie mgumu kumbe 😂😂😂
 
Hongera kwa Amina wanakuaga wazuriii😊
Omg hujakosea kabisa ni bonge la pisi alafu mnyamwezi.. Ila ndo hivyo tu wanasema if it happens it happens.
Unataka kulelewa kijana mdogo😂😂
Kujificha kwenye kichaka cha uchangamfu wa akili😎
Noo infact, nataka niwe free kufikiria maana wadada wa kawaida kwangu ni pasua kichwa.
Nimecheka mpka nagalagala chini eeeeeeh mie mgumu kumbe 😂😂😂
Basi huu ukweli ukuponye ufungue vioo kwetu sie wenye nia na wewe
 
Shida yenu huanzia hapa, mnaona mkitongoza mwanaume mnaempenda ni kama mnajishusha, mnaishia kudeti na kuwachuna hela wanaume wenye ujasiri wa kuwafata ilhali nyie hamuwataki ShesRise_1
Tatizo jamii inachukulia utovu wa nidhamu ukahaba mwanamke kumwambia mwanaume ana mpenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…