Sijasema uwe kama mbogo..Unautuma mpira na unafika kama Andy pirlo..
Kwaio wewe huoni tabu kupiga paipu wabibi, wanene, wembamba, wafupi, warefu, weupe, weusi...
Safii umeshamwambia tayariNampenda Jirani yangu.
😁😁🙌Sijasema uwe kama mbogo..
Ofcousre lazima niangalie kama inalika
Yes... Sio unakuwa kama huna intimacy separation sphincter.. Hahaha
Domo zege anakuwaje na demu na wewe!! Akili unaitumiaje?Wewe ni domo zege?
Nipe no ya demu wako nikusaidie
Nimemtext kaniambia excuse me??Safii umeshamwambia tayari
Sawa sawaYes... Sio unakuwa kama huna intimacy separation sphincter.. Hahaha
Nilimaanisha huyo demu anaesema ana mfukuzia lol 😄 asubuhi asubuhi unanipopoa😎Domo zege anakuwaje na demu na wewe!! Akili unaitumiaje?
Si kwa sababu wewe ni mzuri.Katika kitu nimekua na bahati nacho nikiangukia kwa mtu nakuta na yeye kaangukia kwangu
Ni kama anamaanisha tafadhariNimemtext kaniambia excuse me??
Hiyo maana yake nini?
Maana nilimuomba outing akaniambia tutatoka akipafa nafasi.
Wewe tena! Utafikiri unanijuaSi kwa sababu wewe ni mzuri.
Unafikiri ni coincidence hiyoo?
Lazima uwe na machaguo... Umenikumbusha Kuna mdada aliwai nipenda Lina shepu, hipsi, tako bonge la figa.. sura ya baba mkurya yule ☺️ nikawa sijamuelewa nikawa sieleweki.. baada ya muda kupita nikasema naliachaje like toto likawa limeanza leta ngumu nikalipotezea mazimaMwanaume anaejitambua hawezi kuchovya kila sehemu
MashaAllah babe🥰🥰Katika kitu nimekua na bahati nacho nikiangukia kwa mtu nakuta na yeye kaangukia kwangu
Ndio nakujuaWewe tena! Utafikiri unanijua
Uwe makini natuma na kufuta chap ukiwa nambieNitumie picha yako nihakikishe kama na mimi nitafall!
Sasa hiyo ni nini maana nimemwambia nataka kudate nae.Ni kama anamaanisha tafadhari
au samahani mimi mwenyewe sijui ingirishi 😁
ElevennMashaAllah babe🥰🥰
Sasa imagine uangukie kwa mtu halafu hana interest na shobo zako😄😄
Noo mkuu, I'm always loving and never take women for granted.