Mwisho ipate kutuFaida ipo mkuu[emoji1787][emoji1787]si naendelea kuwa sildi ama[emoji85][emoji85]
Owa ndugu
Mtoa mada zingatia ushauri huuKama unataka kila siku si uoe tu
Dah![emoji23]Kwamba ukatupa tauloNilikua na manzi dah Yaani anakuja kwako ijumaa jioni akitoka job na anaondoka juma3 asubuhi kwenda job (tulikua tunaishi mbali)
Ila hizo 3 night eti mnanyanduana Mara 2 tu aiseee ilinishinda nikatupa taulo aisee.
Niliongea nae akasema yeye hapendi kunyanduana na Mimi napenda kinyanduana basi HATUKUENDANA.
Kila mtu akachukua time zake.
Mengine historia.
#YNWA
[emoji2]Huu ni ujinga kbsa asee! penzi la sms heri ijulikane sina mtu.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]pengine labda anaona huna maajabu kwenye swala zima la mfuko..
[emoji23][emoji23]lakini usijali mkuu akikupenda kwa meseji inatosha sana
Sure hata me nimeona hivi anavonitafuta namjibu kimahaba anaona huyu kasharidhikapunguza kumtafuta, kumuita majina mazuri ya kimapenzi, atakutafuta na atakuja mwenyewe.
Nyongo mkalia in ndo iwe hivyo..!!?Ni nyongo mkali ini,laazizi nyama ya kuchoma.
Vipi bado ni jirani au mpenzi
ndo hivyo. haiwezekan mnapanga apointment halafu anazingua na we bado unaonyesha umeridhika kuwa nae hivyohivyo. kaa kimya mpotezee,Sure hata me nimeona hivi anavonitafuta namjibu kimahaba anaona huyu kasharidhika
mwanamke anaempenda kweli mwanaume wake anatoa tunda mda wowote hata kama hajiskii, hata akiamshwa saa nane za usiku, atalalamika umemuharibia ndoto yake nzuri ila atakupa tu umle umuache aendelee na ndoto zake.Mahusiano ni zaidi ya kupewa papuchi, ungekuwa mkeo ungelalamika
Suremwanamke anaempenda kweli mwanaume wake anatoa tunda mda wowote hata kama hajiskii, hata akiamshwa saa nane za usiku, atalalamika umemuharibia ndoto yake nzuri ila atakupa tu umle umuache aendelee na ndoto zake.
Kweli mkuu umenena point sana,na hii nimepanga kuanzia leo hiindo hivyo. haiwezekan mnapanga apointment halafu anazingua na we bado unaonyesha umeridhika kuwa nae hivyohivyo. kaa kimya mpotezee,
kama anakupenda kweli atajishtukia ataanza kubadilika.
ila mwanamke anakuzungusha kumla na we bado unaonyesha kuchachawa nae utaonekana buda.
Long distance auMimi Nina wapenzi watatu ila Bado Niko single vibaya mno hatujaonana mwaka sasa
Me kuigiza siwez kakaI feel you bro. Nishawahi pitia hiyo situation. Mechi za kirafiki ugenini zilinistiri sana na kuonekana muaminifu kumbe ukweli niliujua mwenyewe.
Basi piga puliAsa kuanza kutafuta kwingine wakati una mtu na anajinadi anakupenda ina maana gani mkuu