Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Nilikua na manzi dah Yaani anakuja kwako ijumaa jioni akitoka job na anaondoka juma3 asubuhi kwenda job (tulikua tunaishi mbali)

Ila hizo 3 night eti mnanyanduana Mara 2 tu aiseee ilinishinda nikatupa taulo aisee.
Niliongea nae akasema yeye hapendi kunyanduana na Mimi napenda kinyanduana basi HATUKUENDANA.
Kila mtu akachukua time zake.

Mengine historia.

#YNWA
Dah![emoji23]Kwamba ukatupa taulo
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]pengine labda anaona huna maajabu kwenye swala zima la mfuko..

[emoji23][emoji23]lakini usijali mkuu akikupenda kwa meseji inatosha sana
[emoji2]Huu ni ujinga kbsa asee! penzi la sms heri ijulikane sina mtu.
 
Sure hata me nimeona hivi anavonitafuta namjibu kimahaba anaona huyu kasharidhika
ndo hivyo. haiwezekan mnapanga apointment halafu anazingua na we bado unaonyesha umeridhika kuwa nae hivyohivyo. kaa kimya mpotezee,
kama anakupenda kweli atajishtukia ataanza kubadilika.
ila mwanamke anakuzungusha kumla na we bado unaonyesha kuchachawa nae utaonekana buda.
 
mwanamke anaempenda kweli mwanaume wake anatoa tunda mda wowote hata kama hajiskii, hata akiamshwa saa nane za usiku, atalalamika umemuharibia ndoto yake nzuri ila atakupa tu umle umuache aendelee na ndoto zake.
Sure
 
ndo hivyo. haiwezekan mnapanga apointment halafu anazingua na we bado unaonyesha umeridhika kuwa nae hivyohivyo. kaa kimya mpotezee,
kama anakupenda kweli atajishtukia ataanza kubadilika.
ila mwanamke anakuzungusha kumla na we bado unaonyesha kuchachawa nae utaonekana buda.
Kweli mkuu umenena point sana,na hii nimepanga kuanzia leo hii
 
I feel you bro. Nishawahi pitia hiyo situation. Mechi za kirafiki ugenini zilinistiri sana na kuonekana muaminifu kumbe ukweli niliujua mwenyewe.
Me kuigiza siwez kaka
 
Back
Top Bottom