Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?


inauma kwakweli. mimi kwangu ilikuwa mnapanga kwa simu vizuri kwamba kuonana siku flani mda flani sawa sawa. siku ya siku unapiga simu weee haipatikani na whatsapp texts juu hadi siku inaisha. akija kukutafuta ni kama hakuna lililotokea. nikajiondosha kimya kimya miezi 5 sasa imepita. kuna watu hawako upfront inapokuja kwenye mahusiano na inakera kwakweli 😡
 
Mkuu na mimi ni hivi hivi yani anakuchek muda ambao anajua hawez kuja
So nlichogundua mapenzi ya sasa yanahitaji muda wote uyapalilie la sivyo utaishia kuitwa majina mazuri kwenye sms ila chake hulambi
 
Inawezekana kwa kumpanga ndio unamtoa mood, ni mtu wako jaribu jaribu mazingira tofauti tofauti ikwamo ya kushtukiza
Muda wangu uko limited sana mkuu,so kama hawez kuja siku tulopanga ndo inakua imetoka hivo na anajua
Ila kingine nimegundua yuko sahihi maana nimempima hulka yake ili ufaidike mfanyie mambo flan flan,Ndani ya hizo siku utamfaidi sana
 
Reactions: Auz
Duuuh....noma
 
Mimi ni Mwanamke ila jinsi. Nilivyomsoma na anachoandika kama kinatoka kwenye nafsi yake bs hataweza kuja kuishi na mwanaume yoyote timamu

bado mdogo hajakomaa kiakili, atampata mtu sababu mafala wapo wengi sana, ataoata bwege mmoja atamwendesha mpaka ndugu zake waingilie kati
 

There is nothing negative with what i wrote, ila hizo notion zako unaenda nazo ngoja umri uende utakuja kuleta mrejesho hapa, mimi ni mwanaume na wanaume nawajua sana
 
Miezi miwili tu nilijisepesha, mtu unampigia simu ananuna, namuambia nammiss analalamika namtoa kwene mood anafanya kazi, hakutafuti ukimtafuta ugomvi [emoji23][emoji23][emoji23] huwa nabaki tu kucheka ni bora kuwa single kuliko mahusiano ya hivi.
 
Mkuu nimewai kuwa na mpenzi one year ajawai kunipa madai yake hadi tuoane for sure alikua ananipenda nilimpenda pia lakin swala la mchezo alikataa kabisa kunipa demu alikua na element za kilokole madai yake alikua bikra pia mimi nikaona ni utopolo nikampiga chini. Mademu bikra ni changamoto sana

Kiukweli haikua rahisi lakin ilibidi kumpiga chini japo nilimpenda sana saivi najipigia zangu nyeto bila stress life linazonga...tena naona naenjoy life kinoma sina mtu wakunisumbua ooh ujapokea simu ooh ujanipigia leo ooh mbona uko kimya hayo na mambo yakulala na simu sikio sina saivi

Kwa scenario yako uyo mpenz wako anamtu mwingine au umfikishi vizuri ndio maana akiwaza kukupa mchezo anaona utopolo tu maana anajua hamna kitu ataenjoy.


#KUWA NA DEMU AFU MZIGO UPATI NI UTOPOLO PIGA CHINI.
 
Sure kaka kuanzia jana nimezika rasmi mahusiano na nimerudi kwenye chama chetu
Japo nikiri nlikua nampenda sana nayeye kwenye sms anaonesha anajali lakini suala la kutoa mzigo naona labda sistahili.

So Sitajibu sms wala kupokea simu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…