greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo.
Tukaenda kula bata Billcanas.
Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani.
Mwamba wakati yupo busy na demu wake,Mi nikajisogeza kwa kale kabinti,

- Akaanza ongea pale kwamba anasoma Makelele Univ...na anakaa Masaki.
- Nami sijaishi kinyonge....Nikamwania napiga chuo Botswana huko,mana mana nilishayachoka mazingira ya Tz,joto kali.
- Mimi na G nia marafiki kupitia urafiki wa baba zetu.
- Nikawa namsimulia hadithi za matukio ya Botswana na majina ya kutunga ya maeneo ya huko.
- Nikaomba ku-dance akakubali.....Pombe zikanyweka
- Midamida nika kodi Taxi,mpaka Gesti za Kino...Kula tunda.
- Baada ya wiki nikaanza mpotezea kwa madai nakaribia kurudi Botswana.