Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

Nilimdanganya mimi ndio naweka sukari kwenye miwa.Nikapewa yote.
 
Nilimdanganya mimi ndio naweka sukari kwenye miwa.Nikapewa yote.
Kupewa yote Ni Ile anaweka miguu yake kwenye masikio au Ni Ile chuma mboga anapiga magoti Hadi maziwa yanagusa godoro?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Watoto wa kiislamu walinichanganya sana(hata saivi sema basi tu)
Nikajiita sana Ismail ili nikubaliwe na hao mabinti, mwanangu rajabu alinifundisha hadi hadithi za quran.
Walipogundua ni kuachwa na matusi juu, Jawahir na Nusrat wasalaam.
 
Back
Top Bottom