Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sio kidogo, sana🤣🤣🤣🤣🤣 umetisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kidogo, sana🤣🤣🤣🤣🤣 umetisha
Christina nikinywa maji nakuna kwenye grasi hii ni kwa maligendi wote huu uwongo tulitumia
"Nakupenda sana hadi nakosa usingizi nikikuota"Christina nikinywa maji nakuna kwenye grasi hii ni kwa maligendi wote huu uwongo tulitumia [emoji41]
Yuko wapi kwa sasaEnzi za kubalehe niliwahi kujiita Saidi, nikaanza kula msuli wa kusoma hekaya (hadith) mbali mbali za kiislam, na kuwasoma vyema makhalifa wa mtume muhammad, lengo lilikua kutafuna mtoto wa ustadh, nilifanikiwa ila hadi leo huyo binti sitasahau reaction yake alivyojua mimi ni msanii tu, niliuvunja moyo wake maana alikuwa ameiva sana kwenye dini akajua amekutana na kijana wa allah.
UAEYuko wapi kwa sasa
Kuna Nyuzi za siasa, ujenzi na nguzo michezo...macho yako ndiyo yameona hapaYaani watu mnawaza ngono muda wote humu ndani, haha
Mrusi mweusiNakumbuka mwaka 2010 kipindi namaliza six pcm pale mirambo nilipewa namba na jamaa yangu ya pisi moja nayo ilikuwa inamaliza six mwaka huo huo shule ya wasichana ipo kg.
Niliidanganya kuwa nasoma masters Rassia gas and petr engene.... na nimekuja bongo kufanya research, na nikaiomba initumie details zake nimfanyie scholarship akasome degree yake ya kwanza Canada.
Kilichofuata ni kukutana na Kula mzigo kiulaini japo jamaa angu alie nipa namba za hii pisi hakupenda Kwa kuwa alisoma nayo olevel na aliifukuzia akashindwa ndo akaona anipe Mimi baada ya mabishano kuwa Mimi manz akinisikiliza tu hakatai.
Ndiyo fani gani hiyonilimdanganya nasomea masomo ya kua raisi wa nchi.
Unaweza ukatoa ushuhuda wa uongo uliowahi ambiwa...Nyie watu waongo sana😃. Ngoja nisubiri kama kuna mtu atasema nilivyodanganywa mimi
DuhNilidanganya kuwa nitaingiza kichwa tu alipokubali nilishindilia bakora yote fyaaaaa kama mshale akajifanya kununa nuna ,dakika chache kaanza kutembea na beat huku akiyoyoma tam! tam! tam!......
Unataka umfuate...Yuko wapi kwa sasa
Nataka kukamilisha hadithi yakoUnataka umfuate...
Kamilisha tuNataka kukamilisha hadithi yako
Ila weweHuwa siwezi kudanganya sijui ni kwanini.