Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

gas huwa ni ya ajabu sana kuna kipindi unapiga mahesabu unajua kabisa wiki hii lazima itaisha unatenga hela kabisa lakini unashangaa hata wiki 2 inakatika, lakini ukijichanganya tu ukila hiyo hela ndo inaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu, so inakuwa kama inakuvizia vile
 
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tu[emoji51][emoji119]

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
Kuna umuhimu wa kuwa na mitungi miwili ili kubalance
 
Kwa mtungi mdogo ukitikisa tu unajua kama gas imebaki kidogo
 
gas huwa ni ya ajabu sana kuna kipindi unapiga mahesabu unajua kabisa wiki hii lazima itaisha unatenga hela kabisa lakini unashangaa hata wiki 2 inakatika, lakini ukijichanganya tu ukila hiyo hela ndo inaisha
Dawa unafosi kuimaliza,leo unatenga kande,kesho maharage ivyo hiyo ili iishe ukanunue nyingine kabla hujatumia hela uliyoweka akiba kwa ajili ya gesi
 
Back
Top Bottom