Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

gas huwa ni ya ajabu sana kuna kipindi unapiga mahesabu unajua kabisa wiki hii lazima itaisha unatenga hela kabisa lakini unashangaa hata wiki 2 inakatika, lakini ukijichanganya tu ukila hiyo hela ndo inaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu, so inakuwa kama inakuvizia vile
 
Kuna umuhimu wa kuwa na mitungi miwili ili kubalance
 
Kwa mtungi mdogo ukitikisa tu unajua kama gas imebaki kidogo
 
gas huwa ni ya ajabu sana kuna kipindi unapiga mahesabu unajua kabisa wiki hii lazima itaisha unatenga hela kabisa lakini unashangaa hata wiki 2 inakatika, lakini ukijichanganya tu ukila hiyo hela ndo inaisha
Dawa unafosi kuimaliza,leo unatenga kande,kesho maharage ivyo hiyo ili iishe ukanunue nyingine kabla hujatumia hela uliyoweka akiba kwa ajili ya gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…