Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Mbona India imetawaliwa na waislamu mamia ya miaka, kina Akbar na kizazi chake toka Mongolia.

Akbar aliifanya India kuwa nchi Tajiri zaidi Duniani na Gdp ya dunia nzima asilimia 24 ilitoka India.
Angalia historia yao na himaya za kihindu utaelewa
 
Umesoma hiyo attachment niliyoambatanisha mkuu.
 
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
 
Zenji makanisa yanachomwa moto.
 
Angalia historia yao na himaya za kihindu utaelewa
Kama ungekua unajua Historia usingetumia hilo neno Hindu.

Neno hindu halipo kwenye Sankrit, halipo kwenye vitabu vyovyote vya wahindi, hakukua na himaya za wahindu, zilikuwepo tu folk religion.

Unaposema wahindu kwa sasa sio dini bali ni muunganiko wa Dini, Cultural na way of life mbalimbali. Hiyo ya uhindu kuwa dini imeanza hivi karibuni baada ya Foreigners kwenda india.

Enzi hizo Kina Akbar wanatawala hakukuwa na uhindu wala Himaya za Kihindu.
 
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
Wabudha wabaguzi,hawawapendi waislamu wenye asili ya Bangladesh wanawaita wahamiaji na kuwanyanyasa sana kule.
 
Wahindu ni jamii ambayo haijastaarabika.
 
Ngoja tumuite muhindi atusaidie hapa ulichosema.Au wewe muhindi msomi
 
Msomi hao akina akbar ni jamii ya watu wa wapi?????Inaonekana hujui historia ya wahindi kama wakazi wa asili wa bara hindi na majirani zao jamii za waafghan,wapashtun,wamongoli,waajemi na nyenginezo nyingi tu zilizovamia bara hindi na kutengeneza himaya kwa maelfu ya miaka.
 
Hapana hujamuelewa huyu mdau.Yeye anaonyesha pia madhara ya wahindu wanayopitia kutoka kwa wahindi waislamu pia wa pakstan.Sasa chuki yake ipo wapi mkuu sijakuelewa msomi au labda mimi sijamuelewa
Yupo sawa, wanachofanya hao wengine ni Suna, wamefundishwa hivyo so kwao ni sehemu muhimu ya Ibada, hivyo hamna shida ila Wahindu na Wakristo mafundisho yao hayaagizi hayo sasa kwanini wafanyie watu wa dini nyingine mambo ambayo hawajaagizwa na dini zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…