"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Asante kwa ushauri mzuri sana mkuu...[emoji120]
Lakini kwa lile la jana, ebu lisikufanye unichukie tafadhali....
Kumbe... nilikuwa najiuliza mbona Manengelo sio wa povu hivi. Nikadhani kuna mtu ame hack iphone yake...
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Ushimen, karibu kwenye familia yetu, nimefurahi sana kuona umezaliwa siku moja na mtu mmoja muhimu sana kwangu.....
Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka uje kusomesha Mjukuu hata mmoja.
Asante sana mkuu....
Naunga mkono hoja
 
Mpk nw unaharibu uzi thanks God hakuna anayekuelewa...!dunia hii ione hvhv!peace
Mkuu...
Ebu naomba niwe mkweli kwenye hili.
Mimi tabia ya kuomba omba kwakweli siipendi. Na hasa ninachukizwa sana na mtu anae omba ilkhali hana sababu ya msingi, na ukiangalia utagundua anaomba kwasababu ana mipango mibovu ya matumizi ya fedha.
Asante
 


poa...nakuelewa!ngoja nikubaliane na ww ..!uzuri humu kuna matajiri na maskini😊..
 
Siku ya kwanza nimeiona ile picha nilikuwa nàanza kula na malaria imenikamata haswaaa niliacha kula maana inatia kinyaa sana ile picha
Samahani sana mkuu...
Ebu nisamehe mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…