Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Kumbe... nilikuwa najiuliza mbona Manengelo sio wa povu hivi. Nikadhani kuna mtu ame hack iphone yake...Asante kwa ushauri mzuri sana mkuu...[emoji120]
Lakini kwa lile la jana, ebu lisikufanye unichukie tafadhali....