Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
hahaha alikuja tzee...hahaha ww ndo unipeleke walau kenya mkuu...nitafurahi mimi..huwez juaNichukue basi na mimi nikasafiri hata Kenya hapo
Huwezi jua
Nakazia kumbe tupo wengiHappy BD .
Ile picha yako ya mtu kaachia mdomo huwa inanitia kichefuchefu. Umekuwa sasa tupumzishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani happy birthday kwa kiswahili si ndio "Nakutakia usiku mwema" au nimevurugwa ?We babu umechanganyikiwa uache kumuwish mwenye bday yake uniwish mm
Saaaanayeah inatia kinyaa
yeah inatia kinyaa
Naomba niwaombe radhi sana kwa hili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilijua niko peke yangu pichaa siipendi ile
Umevurugwa babu acha nijalalie mchepuko wa dada anguKwani happy birthday kwa kiswahili si ndio "Nakutakia usiku mwema" au nimevurugwa ?
Kenya kutokea huku kijijini kwetu ni mbali sana na kutembea umbali mrefu si Dhani kama unawezahahaha alikuja tzee...hahaha ww ndo unipeleke walau kenya mkuu...nitafurahi mimi..huwez jua
Na iwe hivyo kama kweli unamaanishaNaomba niwaombe radhi sana kwa hili...
Na pia naomba niwahakikishie kwamba sinto rudia tena kuwafanya mtapike pizza kwa kile kichefchefu....[emoji25] [emoji25]
Nimeacha kabisa mkuu, naomba niwe mwema kuanzia leo...[emoji25]Happy BD .
Ile picha yako ya mtu kaachia mdomo huwa inanitia kichefuchefu. Umekuwa sasa tupumzishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwenye picha yake akiamua kukomaa nayo ni kila wakati anaitupia tu bas nikiiona natapika aaarrrrrghhh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilijua niko peke yangu pichaa siipendi ile
si kuna bus mkuu..tena muda huu nipo ubungo km vipi nichek nafasi kwa pasaka mkuu😊Kenya kutokea huku kijijini kwetu ni mbali sana na kutembea umbali mrefu si Dhani kama unaweza
Tena kila thread sijui anajisikia furaha ganiNa mwenye picha yake akiamua kukomaa nayo ni kila wakati anaitupia tu bas nikiiona natapika aaarrrrrghhh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa inaniudhi but kaomba radhiKwa nini unaipenda ile picha ya mwanaume kavaa nguo za ndani za kike? Happy birthday mkuu
Ndio jf yenyewe ndugu, uhuru kwa watu woteSamahani sana mkuu...
Ebu nisamehe mimi
hana watoto? too badUna 39 nw..bt kiuhalisia husound hyo miaka .unasound kama 23yrs!oa sasa ili uwe na mawazo fulan postive ...mazuri mazuri...!acha utoto..sio upunguze hapana acha kbs age hyo kuna wenzako wana watoto wakubwa !maana nami umenipita mbali tu .Happy bdy ushimen
Mkuu nikajua sisi wote ni wa mkoani kumbe mwenzangu upo Daresalama mjinisi kuna bus mkuu..tena muda huu nipo ubungo km vipi nichek nafasi kwa pasaka mkuu[emoji4]
Niwe mkweliNaomba niwaombe radhi sana kwa hili...
Na pia naomba niwahakikishie kwamba sinto rudia tena kuwafanya mtapike pizza kwa kile kichefchefu....[emoji25] [emoji25]