"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Happy Birthday Mkuu. Ile gari yako unayopost ina kengele mbili nyuma ndio dream car yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu...[emoji5]
Ule mkebe nilikua ninaupost kwasababu ya kuchangamsha nyuzi tu....
Lakini kuanzia leo sinto post picha yeyote, kwasababu nimegundua kumbe nilikua nikiwakwaza watu wengi kwasababu ya maskhara aiseeeeee...
 
Mkuu we post tu mi napenda sana ,hiyo ndiyo identity yako sidhani kama kila post ya mtu inakufurahisha humu ,zitupie
 
Hongera kwa kuongeza miaka mkuu vp umefanikiwa kula ata watoto wa udom au cbe hapo dodoma.
 
Mkuu we post tu mi napenda sana ,hiyo ndiyo identity yako sidhani kama kila post ya mtu inakufurahisha humu ,zitupie
Mkuu....
Naomba niheshimu mawazo yako, na kwakua wengi nimeonekana nikiwakwaza... sasa rasmi nimeamua hata kubadilisha avatar ili niwe mimi wa ukweli[emoji5]
 
Hongera kwa kuongeza miaka mkuu vp umefanikiwa kula ata watoto wa udom au cbe hapo dodoma.
Asante sana mkuu...
Kwasasa nipo kwenye ndoa mkuu, hivyo cbe na udom hapanihusu kabisa...[emoji5]
 
Asante mkuu...
Lakini kuanzia leo, rasmi maskhara nimeacha kwasababu kumbe nimekua kikwazo
Tatizo mkubwa unawawekea u soft sana.
Yaani mtu akupangie eti uweke avatar gani, au ucoment nn??
Mbona basi wewe hauwapangii waweke picha gani mkuu??
Mbona manyuzi kibao yamejaa madudu humu sisi tunafurahi siku ipite??

Siko hapa kumfurahisha mtu
 
Mkuu, kila jambo lina wakati wake.
Kwenye maisha kuna nyakati nyingi sana tofauti pamoja na nyakati za huzuni na nyakati za furaha...
 
Ilikuwaje hii party ya Ushirombo nikaikosa? Hongera Mkuu nakutakia maisha marefu yenye furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…