"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Kwann umeweka avatar ya picha yakoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni picha yetu mkuu na sio yangu.
Na nikirudi kwenye swali lako la msingi, jibu ni kwamba nimeamua kuweka hiyo kwasababu sina picha nyingine yeyote zaidi ya hiyo picha yetu.
Na nimegundua nimekua nikiwakwaza wangu kwa tabia yangu mbaya ya kuwa naweka picha za kuchefua pamoja na iliokua avatar yangu.
 
Back
Top Bottom