Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

Huyo mwamba anapenya mote humo.
 
Inanikumbusha kombe la Dunia mwaka 2002 ambapo kilikuwa na sheria ya Golden goal yaani hilo ukifungwa game imeisha ilikuwa kandanda safi sana.

Sasa kwa uchaguzi huu naona Lisu akipigwa Golden goal dakika ya kwanza tuu ya dakika za nyongeza na kuwaacha mashabiki zake wakilialia.

Poleni sana Lialia FC na bado muda mnao njoeni mjiunge na The Champion JPM.

October 28 kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Pia tutakuwa tumewashinda wagombea wawili kwa mpigo, mwigine ni kutoka Jumuhiya ya Ulaya anayepigia kambeni twitter!
 
CCM kwisha habari.....ujeuri wenu umewaponza...
 
Labda kwa maagizo ya NEC.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu, kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Hatutakubali na nani,labda utajifungia chumbani kwako. Watu wanaimani na magufuli wewe.kama kikwete pamoja na yote aloyafanya ikiwa ni pamoja na kuimbiwa chama kinamfia alitoboa 10 magu ashindwe kwa lipi. RAIS NI MAGUFULI.
Jipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…